Ukiona mtu anawaza hivi ujue ndo mchezo wake. Mtendee haki Aweda kwa kutoa ushahidi wa dai lako. Kwa hiyo, kila thread inayomfagilia Slaa, Lema, Nape, Mbowe, Mwigulu ni wao wamejiandikia kwa ID faki? This called Inferiority complex
Hivi Mikael Aweda anatoka jimbo gani? Kama ni mbulu kaka utaweza kweli? Ninavyokuona hutaweza kupima naye nguvu. Lakini pia nasikia atajitosa Ukonga labdla.
Sasa ni wazi kwamba aliyekuwa kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza ameuawa na genge ndani ya Polisi akiwemo Kamanda Polisi anayejulikana kwa jina la Muna, gazeti la Jamhuri limeripoti katika ukurasa wa Mbele kabisa (Nimesoma kwenye website yao Deo Balile akilalamika gazeti kununuliwa kwa...
Mimi sijui lakini kuna mtu amedai kuwa Mtumishi wenu + Taifakwanza ni Juliana Shonza na mwampamba. Nakuuliza je, ni kweli? Kama siyo kweli wewe niambie. Kama ni kweli, hapa unamtuhumu Aweda kwa uwongo tu kwa sababu amekuweka kwenye uzi wake.
Hofu yako tu, habari iko ktk ukurasa wa mbele wa gazeti inayosomwa na watu wengi kuliko hapa JF. Hilo unalisemeaje? Wacha tujue mawazo ya maccm halafu tuwajibu hapa hapa JF. Hoja tunajibu, uzushi tunawapuuza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.