hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
unataka kumpindua mh mstafa akonaye? Au hajafanya kazi? Au umetumwa na mwigilu?
yote majibu. Uliza swali sasa
unataka kumpindua mh mstafa akonaye? Au hajafanya kazi? Au umetumwa na mwigilu?
Sawa unakaribishwa lakini tambua barabara ya kutoka karatu kweenda mbulu wastani wa KM 73 haina lami, maeneo muhimu kama shule za Msingi zilizokuwa zinategemewa wakati huo kama Harka, Sanu baray, Endagikoti na zile za sekondari Imboru Chief Sarwat na Sanu Seminari kwa sasa hazina chagamoto kama zamani, Pia jiandae kupambana na Michael Aweda ambaye nae ameonesha nia ya kumuondoa Mustapha kama ataweza lakini cha Muhimu Mbulu tunataka wachapa kazi na siyo washinda mitandaaoni, muulize Marmo wambulu wanataka nini ndiyo uanze kujipanga kukabiliana nayoMIMI (YUDA GURTY QORYO),KUPITIA JUKWAA HILI NAOMBA NIWAWEKE WAZI KILICHOMO NDANI YA MOYO WANGU KWA MUDA MREFU SASA,NDUGU ZANGU DHAMIRA INANISUKUMA KWA MUDA MREFU SANA TANGU UTOTONI ,NIMEJARIBU KUPINGANA NA DHAMIRA HII SANA SANA!! LAKINI DHAMIRA IMENISHINDA ,NA AMINI KUNA KITU TOKA NDAN YA MOYO KINANIAMBIA KAWATUMIKIE WANA MBULU,KINANIAMBIA WATU WA MUNGU WANA HITAJI UONGOZI WAKO KIMAENDELEO,NIMEAMUA KUGOMBEA ,NINA UZOFU WA KUTOSHA KATIKA UONGOZI,NAWEZA KUWAJIBIKA,NAWEZA KUJITUMA,MWADILIFU,MWAMINIFU,NAYO UTU PIA,KUNA KITU KINANIAMBIA MUDA WA MBULU KUKOMBOKA KIMAENDELEO NI SASA,naomba sasa nisema bora mara mia kutumikia dhamira ya ndani kuliko kutumikia kichwa cha nje.