Fuatilia vizuri, Felix Mkosamali ni Mbunge wa Kibondo jimbo la Muhambwe.
Yupo Mpiga kura anayeweza kuwachagua CCM ambaye kwa namna moja au nyingine naye anafaidika na huo unaouita wizi. Lakini wao wanauita ujasiriamali as they are taking risk to do it.....
Uongo uliotukuka,
Zidumu Fikra duni kwetu sisi tulio duni.
Idumu Dhana ya kwamba sisi ndio wenye nchi na wenye dhamana ya wote
Ipo siku tutatambua madhira ya kuwa negative na destructive kwa vitu ambavyo ni productive.
Lakini ninaoufahamu ni kwamba Dr. Slaa si kwamba alikosa upadre ila...
Naomba kidogo adabu iwepo hata kama kwenu haujafunzwa hilo basi na ukajifunze kwa dunia. Watu wa Kigoma si uzao wa sokwe tafadhali tengua kauli yako kabla .........................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.