Wakati mwingine demokrasia inarudisha nyuma maendeleo. Laiti mkapa angekuwa dikteta, akakaa madarakani kwa muda wa miaka 30, tungekuwa mbali sana kiuchumi. Likewise i dont believe in change of leadership right now!!! Tunahitaji viongozi waliopo madarakani (pamoja na Zitto) kwa kipindi cha miaka kama ishirini ijayo, ili wakiimarishe chama halafu ndio watoke. Hawawezi kutoka chama kikiwa katika hali hii hata kama demokrasia inahitajika ili imweke Zitto kwenye uenyekiti. Tupo pamoja??? Zito na wafuasi wake wote nendeni mkafi_ra-ne. Sorry.