Wewe Anko T wa zamu hujui lolote Linda mgongo wako Kwanza. Huko NSSSF ndo mlipitisha sheria Mtumishi mpaka afikishe miaka mingapi sijui ndo achukue pension? Heche yuko sahihi, kama Dereva akichangia mfuko WA akiba miaka 5 akifukuzwa apewe hela yake akaendeleze maisha na Mtaji wake.
Ulishangilia clip fake ya Heche nikakuambia wewe siku hizi ni Doumbia wa kisiasa Kila chance unapiga nje. Ulijitia ujuaji lakini Leo unajiliza sababu yako kwa shoga zako?
Huyu ni moja ya
Balile ni moja Kati ya waandishi waovu, wasio na utu, Chawa grade one, wauaji na Shetani asiyejitambua. Binadamu anayethamini vitu kuliko utu wa Mtu ni Mnyama tu kama hayawani wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.