Recent content by Bikis

  1. Bikis

    Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

    Majliw sijui kwanini ni mtu mwongo mwongo, dahhh ingekuwa ni nchi za wenzetu waziri mkuu mwongo asingeweza kudumu ofsn
  2. Bikis

    Waziri Ndumbaro: Wamasai waishio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa Ngorongoro

    Wakati wa mahojiano na DW Waziri ndumbaro amekaririwa akisema Wamasai washio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa ngorongoro. Imeibua mjadala mingi baada ya wananchi wasomi kutoka jamii ya kimasai kumwomba rais kutengua waziri wa mali ya asili kwa kauli yake kwamba Wamasai kwao ni sudan na siyo...
  3. Bikis

    Rais Samia ingia mtandaoni umsikilize Tundu Lissu kuhusu yanayoendelea Ngorongoro

    Hili suala la Ngorongoro mama Samia Suluh asipolitatua kwa umakini zaidi linaweza kuachia serikali yake uchafu isiyoweza kufutwa kurahis
  4. Bikis

    Mgogoro mkubwa baina ya Serikali na wananchi waishio ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Wasalaam kutoka Ngorongoro. JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali... Nawandikia hivi ikiwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Ngorongoro ikihusishwa na nia ya Serikali kutaka kuwaondoa wananchi hao...
  5. Bikis

    Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluh Hassan; Salam kutoka wilaya ya Ngorongoro

    Salam kutoka wilaya Ngorongoro. Mhe.Rais wananchi wa Ngorongoro kama walivyo Watanzania wengi walikuwa na imani na wewe lakini imani inapungua siku baada ya siku. Mhe.rais kwa 2020 jimbo la Ngorongoro kwa nafasi ya rais mlizoa kura zaidi ya 87% na tangu uhuru wa nchi hii hili jimbo halikuwahi...
  6. Bikis

    Naanza kutilia shaka uwezo wa Rais Samia kuongoza Taifa

    Niliingia mtego wa kumpenda na kumheshimu mama samia suluhu mara tu alipoapishwa kuwa rais nikijua atakuwa rais bora lakini nimegundua nilikuwa wrong, niliapa kumpa kura yangu 2025 ingali mm ni mpinzani!! Anyway mama amekosea sana kwa suala la mbowe na akitaka watanzania tulio na akili timamu...
  7. Bikis

    Wananchi waishio ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro waomba washirikishwe katika kutafuta suluhu ya kudumu ndani ya eneo hilo

    Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mama Samia Suluh Hassan, wakati wa kuwapisha makatibu wakuu na baadhi ya wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali aliagiza wizara ya maliasili na utalii inayongozwa na mhe.Dr Damas ndumbaro(MB) watafute suluhisho la kudumu ndani ya wenyeji waishio ndani ya mamlaka ya...
  8. Bikis

    Kati ya hawa mmojawapo anaweza kuwa Rais 2025

    Hali inaweza kuwa tofauti... Lowassa anaweza kuwa rais na makamu wake mwinyi.
  9. Bikis

    Tamko la Madiwani na viongozi wa mila (Ilaigwanak) wa eneo la hifadhi ya mamlaka ya Ngorongoro (NCAA)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA MADIWANI NA VIONGOZI WA MILA (ILAIGWANAK) WA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO (TARAFA YA NGORONGORO) JUU YA UHIFADHI NA JAMII Sisi, Madiwani na Viongozi wa Mila (Ilaigwanak) wa Tarafa ya Ngorongoro (eneo la Hifadhi ya Ngorongoro), Wilaya Ngorongoro kwa niaba...
  10. Bikis

    Shunshaa Trump, Trump has finished. Somo kwa CHADEMA, ACT Wazalendo na ulevi wao kwa wazungu

    Huyu jamaa ni kilaza sijawahi kuona. Funzo kubwa kuhusu Trump (rais wa USA) ni kwa ccm na madikteta wote wa africa kwamba hamna yeyote aliye juu ya sheria siyo rais wala spika wa bunge. Umeshindwa kuandika kuhusu ndugai aliyevunja ibara ya katiba yetu live live ya kuwatambua wabunge...
  11. Bikis

    Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

    Tatizo siyo kingine.. Ni gharama kubwa ya kutembelea mbuga zetu. Ningeshauri wizara ya maliasili ipunguze gharama ya kuingia ngorongoro, Serengeti, lake manyara, tarangire, kilimanjaro na arusha national park cos ndio mbuga zinatembelewa sana bila kupunguza msitarajie mabadiliko yeyote.
  12. Bikis

    Aina nyingine mpya ya Kirusi cha Corona yaripotiwa Nigeria

    Hiyo ni kirusi kipya ya kuwakomesha waafrika!. Tumwombe Mungu sana wazungu siyo watu wema Baada ya kuona kwamba tumeweza kusurvuve kuliko kwa corana ya mwanzo kuliko wao Hapa rasmi nimeelewa kuna lengo nyuma ya corona
  13. Bikis

    TANAPA: Picha ya Ol Doinyo Lengai, ni moja ya picha 15 bora za Kimataifa 2020

    ...hiyo ipo ndani ya mamlaka ya hifadhi ya ngorongoro (NCAA) EMPAKAI CRATER na oldonyo lengai na milima ya kerimasi.. Hiyo yote ni maeneo ya asili ya Wamasai wa ngorongoro..!! Jamii ya kimasai tangu zamani wamekuwa wakiishi miaka kadhaaa sasa bila kuharibu uoto wote wa asili.. Na hiyo crater ya...
  14. Bikis

    Wakurugenzi, Wasaidizi wa Uchaguzi walivyofanya wizi wa kura Jimbo la Ngorongoro

    Mm pia ni mwenyeji wa ngorongoro,, hali ya uwizi wa kura ilikuwa haina mfano!! Polen watz
  15. Bikis

    TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

    Waondoke tu, watanzania wana hasira na hichi chombo na ccm
Back
Top Bottom