Recent content by Bikidude

  1. B

    Usibishe,inaburudisha sana.

    Inasikitisha sana unapokuwa unaota upo sehemu unakojoa kumbe unakojoa kitandani usingizini!!
  2. B

    Usibishe,inaburudisha sana.

    Inafurahisha sana..unataka kuingia clas ya mchana alafu umechokaaa!! Jua kali alafu umeshiba unatamani kupumzika!! Gafla unapigiwa cm mwalimu haingii anamatatizo ivyo haji class!!
  3. B

    Utata wa kiswahili...

    Kumi elfu na shilingi moja tu!!
  4. B

    Utata wa kiswahili...

    11,000/=elfu kumi na moja. 10,001/=kumi elfu na moja!!
  5. B

    JE WAJUA... VINGI VITAMUU HUANZIA NA HERUFI "k"?

    Kubebwa!kitimoto....Kacholi..kipochi manyoya hakina zipu!!!
  6. B

    Wema Sepetu ashiriki Big Brother Africa?

    Nenda dda wema tufafurahi sana tunakupenda sana hasa sauti yako tu!! Duuuh!!
  7. B

    Kiswahili Kwenye msiba Tarime:

    Duuuu iyo kali!!
  8. B

    Dawa ya hasira

    Helow!! Wana jf nawapenda wote!! Nimekuwa nikisoma thread zenu humu nimependa nijiunge nanyi!! Thanks.
Back
Top Bottom