Wakubwa wa elimu msingi Magu ni wababaishaji na wapiga dili tu. Ndiyo maana hayo ya kupiga milioni 40 yametokea magu. Huyo injinia ndiyo waliosimamia ubazilifu ukafanyika. Mkurugenzi alidanganywa na injinia wake hela zikaliwa.
Huyo diwani Mashaka hawezo kusimamia maendeleo, ni mtu wa dili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.