Arusha: Mlinzi auawa kwa kuchinjwa, wauaji waondoka na kichwa

Watanzania hatuna roho za kiuaji na kinyama kama hizi bila shaka hawa watu wa kanda ya kaskazini si watanzania kwa vinasaba. Ni vyema wangekuwa Kenya tu.
Nani kakudanganya...
Hakuna watu wenye roho katili kama wabongo...
Ukingia kwenye 18 yao ndiyo utawajua

Ova
 
Hapo kama namuona NOYAN akiagiza aletewe kichwa cha adui yake 😁


Haya mauwaji yamerudi tena, mikoa iliyo na wakristo ndiyo maafa yanafanyika zaidi, lakini pwani kwa waislamu haya mambo hayapo. Ingawa naishi mkoani lakiniii ukweli usemwe
Arusha umafia kitambo sana upo

Ova
 
Haya mauaji yanatisha sasa. Kuna nini?

Ama ni uchaguzi???

Kwa kumbukumbu zangu mwaka unaokaribia chaguzi ndipo ajali na mauaji hutokea.

2009 kuelekea uchaguzi 2010, 2014-2015, 2019-2020. Sasa 2021 hadi sasa 2022 je 2022 kuna uchaguzi gani??? Au ni uchaguzi wa Kenya????
 
Back
Top Bottom