Recent content by BigTall

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la gharama za 'direct cost' UDSM kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa kwa wanafunzi

    Hoja ya Mdau baada ya tangazo hilo 👇🏻 Mmh, hili ni ongezeko kubwa sana la gharama kutoka 97,400/= hadi 255,400/=, sawa na ongezeko la zaidi ya 100%. Awali gharama za hosteli zilikuwa takribani Magufuli & CoICT 800-1,300/= na Mabibo 500-1,000/=. Ongezeko hili kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tukio la mke kuuawa kwa risasi kisa kikidaiwa ni mali, je, ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa?

    Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza? Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Kama naenda kasi katika kuwasemea Wananchi niambieni nipunguze

    Wananchi wa Kijiji cha Kidodoma, Tunduru, wamemtaka Katibu wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado kuendeleza kasi ya kuwasemea Wananchi na makundi mbalimbali, hususan katika masuala ya haki, utekaji na changamoto zinazowakabili wananchi. Wamesema hayo Septemba 23, 2026...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Serikali inawekeza kwenye madini kukuza uchumi wa viwanda, kuongeza fursa za ajira

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka mazingira bora ya uwekezaji na usimamizi wa rasilimali madini, kwa lengo la...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi Majaji Wa Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Hawana Hukumu Tayari?

    Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Bodi ya Mikopo (HESLB): Dirisha Kuwa Wazi Hadi Sept 18 Kwa Wanaokamilisha Maombi

    HESLB wameongeza siku 3 lakini mfumo haupo sawa tunashindwa kuendelea na maombi, ni kama vile haitusaidii kiivyo, wajue wanaoomba mkopo ni watoto wa kimasikini hakuna mtoto wa tajiri anaesumbuka na huo mkopo kama sisi.
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Wananchi wenye hasira walivyompiga Daktari Bingwa wa Mloganzila aliyemshambulia Askari

    Ikumbukwe kuwa tukio hilo lilitokea Septemba 8, 2026, baadaye Jeshi la Polisi likatoa taarifa kuwa linamshikilia dereva huyo ambaye alitambulika kuwa ni Conrad Agonza Kayoza (35), Daktari Bingwa Magonjwa ya Ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila na mkazi wa Lugalo na Mloganzila...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Michano ya Nyabinghi Daicon.... "Zingatia Michano"

  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo: Ushuru wa Bajaj Mbezi Stendi ni Tsh. 500 inayoshusha abiria na Tsh. 2,000 kwa siku

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA USHURU WA BAJAJI KATIKA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kwamba viwango vya ushuru vinavyotozwa kwa bajaji katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli vinatofautiana kulingana na aina ya huduma inayofanyika...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kibaha Maili Moja - Muheza tumeanza kupata huduma ya maji japo mara chache baada ya kupita miezi kadhaa

    Kwa miezi kadhaa nadhani ni tangu mwishoni mwa Mwaka 2025, Wananchi wengi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza tulipiga kelele kuhusu ukosefu wa huduma ya maji. Tatizo hilo lilitufanya tupate changamoto kubwa katika shughuli zetu za kila siku, lakini tunashukuru kwa sababu kilio chetu hatimaye...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Naona Bunge wameamua kumpa ajira Gen Z kuwa Admin wa page yao

    Wabunge walipokuwa wakiwasili Bungeni jijini Dodoma, Agosti 27, 2026 kuhudhuria Kikao cha Pili cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Inasemekana mfanyabiashara 'Mariam Uswazi' anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati

    Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao. Pia soma: ~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wakili Yesaya: Makamu wa Rais akijiuzulu, Rais anatakiwa kuteua jina jipya ndani ya Siku 14

    Johnson Yesaya, Mwanasheria kutoka Taasisi ya Sheria na Wakili - Jungu la Sheria Tanzania anaeleza kuwa: Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 50(4): Makamu wa Rais akijiuzulu, kiti chake huwa wazi. Rais anatakiwa, mapema iwezekanavyo na ndani ya siku zisizozidi 14...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mmiliki wa MS Hotel asema baba yake anaumwa ‘serious’ ila wanaye wamezuiwa kumuona

    Kundi Masanja, mtoto wa kwanza wa mzee Masanja (mmiliki wa hoteli za Mw na Christmas Tree), anaelezea jinsi yeye na mdogo wake walivyozuiliwa na mama yao wa kambo kumuona baba yao mgonjwa: "Tulipata taarifa ya ugonjwa wa baba yetu ilikuwa ni siku ya Jumanne ya wiki iliyopita. Baada ya kupata...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya fukwe za Bahari Mbezi Beach (Jangwani) haziridhishi; Tutaenda na hali hii AFCON?

    Kwa takribani siku tatu nilikuwa kikazi kwenye hoteli moja iliyopo Mbezi Beach. Jumapili, Agosti 16, 2026, kabla ya kumaliza siku zangu za kuwepo hapo, nilijipa muda wa kutembelea fukwe za bahari za Mbezi Beach, upande wa chini wa mitaa ya Jangwani. Nilikuwa sijafika maeneo hayo kwa takribani...
Back
Top Bottom