Recent content by Bignation

  1. B

    Mliokuwa mnasema CHADEMA Kuna mfumo dume, tunaomba mtatue kitendawili hiki Cha ubaguzi

    Unauliza swali ambalo hata mjinga hawezi kuuliza wewe ushasema serikali ya zanzibar ambayo katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania imeieleza itashughulika na Mambo yote yanayohusu zanzibar mtu wa bara ataingiaje, hii ni serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania nchi 2 zimeungana kuunda...
  2. B

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM kuhutubia kwa kisukuma huko Mwanza. Huu ni ukabila. NEC tunasubiri kuona hatua kali dhidi yake

    Oya TBC Kila wakati inatoa miongozo ya NEC kuhusu Sheria za kampeni kuwa kampeni zote zitatumika Kwa lugha ya Kiswahili na marufuku Kwa mgombea yoyote kupiga kampeni kwa lugha isiyokuwa Kiswahili na kama wananchi wa eneo husika hawafamu vizuri Kiswahili basi mgombea ataongea Kiswahili na...
  3. B

    Ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, kwa kuokoa muda, kuangalia ustawi wa chama na kutozalisha 'makundi', ningefanya haya upesi tu

    Hapana hayo maoni tu na kwenye maoni yapo mazuri na mabaya, yakiwa mazuri maoni yanachukuliwa yakiwa mabaya maoni yanatupwa tu hakuna ulazima wa kuyakubali. Mathalan mgombea anakubalika katika chama lakini hakubaliki na wala hauziki Kwa wananchi katika Jimbo, lakini kuna mgombea hakubaliki sana...
  4. B

    Zanzibar 2020 Kuna kijungu kinapigwa Visiwani, ni Uchaguzi wa hatma ya Zanzibar

    Hapana hesabu hazijakataa ni ukweli usopingika mgombea pekee katika wagombea watatu aliyekuwa anakubalika pande zote mbili za ccm bara na zanzibar ni dk Hussein. Ninaamini bila Shaka yoyote kura 95 za wajumbe wa nec bara zilienda Kwa Hussein Mwinyi. Kwa sababu wao pia walikuwa wanaamini...
  5. B

    Zanzibar 2020 Kuna kijungu kinapigwa Visiwani, ni Uchaguzi wa hatma ya Zanzibar

    Sio kweli wajumbe wa nec ccm Zanzibar jumla yake 68. 33 kati ya hao wamempa kura Dk Hussein. 35 wamegawana Dk Khalid na Mh Nahodha Kwa hiyo Dk Hussein Mwinyi amepata nusu ya kura za wajumbe wa nec kutoka Zanzibar. Watu wasiokuwa na nia safi wanaopenda mifarakano na kuendeleza siasa za chuki na...
  6. B

    Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

    Wapi ikulu au bungeni?
  7. B

    Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

    Uongo hakuna popote ilipotangazwa tatu bora.
  8. B

    ITIKADI ni imani; Membe amepotoka na amefanya uamuzi wa kijinga

    Every man has right to decide. Watu wanabaidili dini ambalo ndio Jambo zito zaidi itakuja kuwa chama hata muasisi wa chama cha mapinduzi hayati baba wa taifa mwalimu Julius K Nyerere kawambia wana ccm na taifa Kwa jumla kuwa ccm sio mama yake anaweza kuachana nacho kwa hiyo kama mh membe kaamua...
  9. B

    Uchaguzi 2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

    A Anaamini falsafa yake ndio maana kaungana naye mh lowassa hakutoka ccm Kwa sababu hakipendi chama cha mapinduzi Bali alitoka Kwa sababu ya kwenda kutekeleza nia yake ya kugombea urais ndio maana alisema yeye mgombea urais ndani ya chama cha mapinduzi na nje ya chama cha mapinduzi. Halafu...
  10. B

    Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

    Hata bush senior katumia bush junior bill Clinton wanyamwezi wameanza longtime.
  11. B

    Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

    Hiyo inaitwa teleprompter Kwa kutumia hiyo anaweza kusoma hotuba yake au notes tena ana weza kusoma huku akiangalia kila upande.
  12. B

    Zanzibar 2020 Namba 11: Mwantum Mussa Sultan anakuwa Mwanamke wa kwanza kuchukua fomu ya Urais kwa tiketi ya CCM Zanzibar

    Bi Amina mama smart sana huyo ila kauli yake Kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm ya kusema endapo angechaguliwa kuwa mgombea wa urais angeshirikiana na Edward lowassa. ikamuharibia.
Back
Top Bottom