Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

Using a teleprompter is similar to using cue cards. The screen is in front of, and usually below, the lens of a professional video camera, and the words on the screen are reflected to the eyes of the presenter using a sheet of clear glass or a specially prepared beam splitter.

Nenda YouTube andika teleprompter then watch out utaelewa main slides ziko chini meza yake zile plastics pale ni kama mirror zina reflect from main source dunia nzima hutumika hivyo since 1980 huko sisi tumepata 2012 hivi
ACHUKUE MAJIBU NDIYO HAYA
 
Mkuu hizo zinaitwa teleprompter na aliyeanza kuzitumia kama sikosei kwenye medani ya siasa zaidi alikuwa Barak Obama wakati wa uongozi wake ingawaje Television presenters walikuwa ndio wakizitumia kwa muda mrefu kidogo.
Ahsanteni Sana mkuu!
 
Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284
Hiyo inaitwa teleprompter Kwa kutumia hiyo anaweza kusoma hotuba yake au notes tena ana weza kusoma huku akiangalia kila upande.
 
A teleprompter, also known as an autocue, is a display device that prompts the person speaking with an electronic visual text of a speech or script. Using a teleprompter is similar to using cue cards. The screen is in front of, and usually below, the lens of a professional video camera, and the words on the screen are reflected to the eyes of the presenter using a sheet of clear glass or a specially prepared beam splitter. Light from the performer passes through the front side of the glass into the lens, while a shroud surrounding the lens and the back side of the glass prevents unwanted light from entering the lens. Mechanically this works in a very similar way to the "Pepper's Ghost" illusion from classic theatre – an image viewable from one angle but not another – and the concept may have similar origins.
Thanks mkuu!
 
Braza wanakuchora tuu humu maana ni kama unaleta masihara usiniulize kivipi?

Jibu lake utanipa ban
 
Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284
This is called Teleprompter
How the teleprompter works?
The teleprompter has a transparent mirror called a beam-splitter that is installed on the top of an extended stand. The teleprompter is situated between the reader and the audience, but is nearly invisible. The speaker sees the scrolling text on his side of the teleprompter mirror, but the audience just sees is a clear piece of glass. Many do not even notice the teleprompter.

This is called presidential Teleprompter.

Attachments

  • Screenshot_20200620-145712_Chrome.jpg
    Screenshot_20200620-145712_Chrome.jpg
    16.3 KB · Views: 1
Mkuu hizo zinaitwa teleprompter na aliyeanza kuzitumia kama sikosei kwenye medani ya siasa zaidi alikuwa Barak Obama wakati wa uongozi wake ingawaje Television presenters walikuwa ndio wakizitumia kwa muda mrefu kidogo.
Hata bush senior katumia bush junior bill Clinton wanyamwezi wameanza longtime.
 
CCM JUU!!! MAGUFULI BABA LAO. KURA YANGU NITAKUPA HATA BILA KAMPENI, UMEFANYA MENGI!!
 
Hivi hata bili kuambiwa.. inamaana hata body language na facial expression yake haikutosha kukuonyesha kua anasoma?

Tuna kizazi chenye Ukilaza sana.

Usimkashifu mtoto, ameuliza kwa unyenyekevu. Jaribu kumjibu kwa vizuri. Ndivyo ilivyo, ukiwa kijana unakuwa hujui mambo mengi. Lkn mwenye hekima anauliza ili ajibiwe apate kuwa muerevu. Tafadhali tumia tu lugha nzuri kumuelimisha.
 
This is called Teleprompter
How the teleprompter works?
The teleprompter has a transparent mirror called a beam-splitter that is installed on the top of an extended stand. The teleprompter is situated between the reader and the audience, but is nearly invisible. The speaker sees the scrolling text on his side of the teleprompter mirror, but the audience just sees is a clear piece of glass. Many do not even notice the teleprompter.

This is called presidential Teleprompter.
How the teleprompter works?
The teleprompter has a transparent mirror called a beam-splitter that is installed on the top of an extended stand. The teleprompter is situated between the reader and the audience, but is nearly invisible. The speaker sees the scrolling text on his side of the teleprompter mirror, but the audience just sees is a clear piece of glass. Many do not even notice the teleprompter.
Thanks kwa kujuzana na kuelimishana!!
 
When was the teleprompter first used?

The TelePrompTer Corporation was founded in the 1950s by Fred Barton, Jr., Hubert Schlafly and Irving Berlin Kahn. Barton was an actor who suggested the concept of the teleprompter as a means of assisting television performers who had to memorize large amounts of material in a short time. Schlafly built the first teleprompter in 1950. Aug 22 2019
 
Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284
ACHUKUE MAJIBU NDIYO HAYA
Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284
teleprompter-tvprompt-confer-in-box.jpg
Unaweza kukiita Stage Teleprompter, Speech Teleprompter . Ni kifaa ambacho kinatumika na watu wengi kusomea hotuba. Na vipo unavyoweza kuvisoma hata kwa umbali wa atua 17, na vifaa hivi vipo vya aina nyingi kutokana na mazingira husika ya mkutano. teleprompter-tvprompt-confer-in-box.jpg
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Ndugu zangu watanzania;

Kifaa hiki cha glass kinaitwaje na kazi yake ni nini haswa katika majukwaa ya Rais (Presidential Podiums)?

images.jpg

merlin_172963713_432.jpg

images (26).jpg

Nimekuwa nikikiona mara kwa mara katika majukwaa mbali ya viongozi wa Tanzania, Marekani, China, Russia na hata Uingereza na kukaa nalo tu moyoni ila leo nimeona sio mbaya kama nitapata ufafanuzi kutoka kwa wataalam wa masuala haya

Ninajua wapo wengi sana ambao ni washamba kama mimi Soldier kuhusiana na kifaa hiki na watajifunza kupitia thread hii.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Back
Top Bottom