Mfano nimehama kutoka TPA nikaenda wizara inayosimamia TPA, Mshahara wangu utashuka? Maana wizarani sijui kama kuna hizo scale za mishahara ya taasisi hizo.
Kwa wale wanaofahamu ni muda gani mtu aliyeomba uhamisho kutoka wizara moja kwenda nyingine hujibiwa. Na ni namna gani mtumishi anaweza kupata taarifa za maendeleo ya taarifa ya maombi yake.
Msaada kuna dogo langu linanisumbua nami sijui hata pa kuanzia.
Dada upo vizuri nimekuelewa, inaonekana una simamia vizuri maendeleo ya watoto wako, wengi wetu humu ni wavivu na ndio maana tunawasukumia watoto waende shule ili kukwepa hayo majukumu.
Hivi kwa ukweli mmeona msongamano wa wanafunzi wakiwa shuleni haswa hizi kanumba schools.
Sent using Jamii...
Wasoma meter na wakata maji wa DAWASA hivi wana kiwango gani cha elimu. Maana ni wabishi na wasiotaka kuelewa. Mfano wamekata maji na kutoa notification ambapo bill ya notification ilishalipwa. Sasa waje kurudisha maji, wamekuja wamerudisha maji sasa pale walipofunga kwa kukunja panavuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.