Recent content by Bigirita

  1. Bigirita

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

    Hao unaowaita Mabwanyenye ndio wapo Arusha sasa hivi na mnawalamba makalio kwenye vikao huko. Ndio haohao mmekopa kwao, wanawadai mpaka kizazi chenu cha 10, haohao ndio mnaowalilia wawape misaada mpate kutoa chanjo na dawa za kufubaza UKIMWI. Next time you open your mouth make sure upo chooni...
  2. Bigirita

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

    Dalali mmoja kamzuia dalali mwingine asije kwenye kijiwe chake. sio habari hiyo.
  3. Bigirita

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Mwamposa yadaiwa kupunguza sehemu za siri za mtoto

    Jamiiiliyojaa Viande. Bladifakeni kabisa. T\Maendeleo yaje kwa design hii na mchanganyo wa MaCCM? labda miaka 200 ijayo.
  4. Bigirita

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Mwamposa yadaiwa kupunguza sehemu za siri za mtoto

    Hahahahahaaaa
  5. Bigirita

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hili la mgombea kujitangaza kuwa Yeye ni Amiri Jeshi Mkuu, limekaaje?

    Exactly....vyama shikizi vinavyogombea vimeridhika. Wapo kwenye maigizo yao ya kaole
  6. Bigirita

    JamiiForums Tanzania Miradi ya JKT na JWT/Shirika la mizinga, ni miradi ya kusikitisha sana, ni kipimo cha level ya uwezo wetu sisi Watanzania

    Kwahiyo ndo wajenge frames, vituo vya mafuta, kuzoa taka na kumbi za harusi? Hata kuwa na viwanda vya gloves, madawati na hata assembly ya pikipiki wameshindwa? Nchi ya hovyo kabisa hii.
  7. Bigirita

    JamiiForums Tanzania Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

    Ni vizuri watu wakaelewa hii. Katika kutoa maelezo ya biashara mtu anatakiwa kuwa makini ili maelezo yajitosheleze bila kuonyesha ujanjaujanja
  8. Bigirita

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

    Umeshamwqmbia hivyo huyo baba yako? Aunjnakuja kupiga kelele huku
  9. Bigirita

    JamiiForums Tanzania Hivi Freeman Mbowe anajisikiaje kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa chama chake?

    Wafuate hao watu makini walioondoka. Mfuate Msigwa.....ndo mtu makini kwako. Otherwise go F yourself.
  10. Bigirita

    JamiiForums Tanzania LGE2024 THRDC: Upinzani mnakosa mikakati imara ya watu kujitokeza kugombea

    Huyu bwana na watekaji wa wananchi wana tofauti yoyote?
  11. Bigirita

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

    Sheria ya kikoloni inatungwa na setikali ya watu weusi kwa ajili ya kuwashughulikia raia katne hii ya 21. Pathetic. Serikali za vyama vya ukombozi zimejaa manyang'au tu.
  12. Bigirita

    JamiiForums Tanzania Nini huwa madhumuni ya polisi wasio na sare(plain clothes police) kukamata watu?

    Ukifanikiwa kumalizana nae itapendeza zaidi, otherwise usikubali kukamatwa na plain clothes individuals identifying themselves as police in unmarked vehicles. Uzoefu umeonuesha nothing good comes out of those guys.
Back
Top Bottom