Kwa kipindi kirefu Kampuni/browser ya Mozilla wamekuwa wakishirikiana na Window xp na window vista katika matumizi ya kupakua vitu mbalimbali katika Mtandao, lakini ilipofika tarehe 4/10/2017, wakaamua kuitangazia Dunia kuwa June 2018, utakuwa mwisho wa kushirikiana miongoni mwa kampuni hizo...
6. KUHARIBIKA KWA UBAO MAMA (MOTHER BOARD)
Ubao Mama(Motherboard), hii ni Saketi ambayo ina muunganiko wa “chip” Zaidi ya moja. Inaitwa Saketi kwa sababu inatumia umeme wa moja kwa moja (Direct Current).
Kwanini uitwe Ubao mama(Motherboard)? Kwa sababu ina uwezo mkubwa wa kuweza...
Ni kipindi hasa cha Wanafunzi wengi kuelekea Vyuoni na wengi wao watapenda kununua Kompyuta kwa ajili ya Masomo/Kozi mbalimbali huko waendako
Kwa kutambua nafasi hii ya Kielimu juu ya Matumizi ya Kompyuta nasi tumeona ni vyema kutoa Elimu hii, ili angalau kuwa na uelewa zaidi maana tunatambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.