Recent content by BigBrain

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunawabeza watoto wa viongozi ?

    Inaonekana na wewe ni mmoja wao, na pia wote uliotaja hapo usije ukalinganisha na eti Uhuru wala Kabila, wote uliotaja ni vichwa maji. Tuambie wamefanya nini mpaka kupewa hivyo vyeo? Ikiwa January alishindwa hata kutetea kodi ya line, ameshafanya kitu gani cha mfano zaidi ya kugawa smart phone...
  2. B

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Sera ya Majimbo ya CHADEMA siri ya Maendeleo

    Hatujui hapa alichodandia nini, zaidi ya maelezo yenye akili ya mfumo wa kumkomboa mtanzania mnyonge wa Tanzania anayeendelea kunyonywa kutokea maelekezo ya magogoni. Amejibu tuhuma ya yule babu aliyetoka porini akawa mtu aliyoitoa pale kwenye TV ya CCM=TBC. BRAVO JJ MNYIKA, ENDELEA KUTOA...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sera ya CHADEMA ya Majimbo ni mzigo kwa wananchi - Wassira

    Ato, hatufuati mfumo wa utawala kwa hisia eti kwa sababu uliachwa na Mwalimu. Tufanye vitu kwa ushahidi (evidence) na ushahidi huo ni kuwa je nusu karne ya utawala huu tumeenda wapi kwa mfumo wa CCM? JE TUFATE MFUMO ETI KWA VILE NYERERE ALIUACHA? Hapana. Halafu unazungumza nchi zingine ambazo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania JOB VACANCIES AT CHADEMA – Western Lake Province

    Jamaa wametangaza kazi, kama una vigezo apply. Mwenzetu unaishi zama za ujima nini? Yani hizo siku imekuwa issue kwako, tatizo kila kitu magamba mnaona hakiwezekani, upeo mdogo.
  5. B

    JamiiForums Tanzania JOB VACANCIES AT CHADEMA – Western Lake Province

    It is a new era; if you are the CHADEMA member-particularly residing in Western Lake Zone (Geita, Kagera & Mwanza), be part of change that you wish to see. TRY YOUR LUCK CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) – Western Lake Province is here announcing the following vacancies for the...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    TUACHE PROPAGANDA NYEPESI: Wachina walisema 'NO RESEARCH/EVIDENCE, DON'T TALK' Tuambie majimbo ya uchaguzi ya sasa yaliyowekwa na CCM, hayako kikabila? CCM ikiona imekosa jimbo inaangalia kama kuna kabila zaidi ya moja katika jimbo hilo inagawanya jimbo na kupata majimbo mawili ili uchaguzi...
Back
Top Bottom