Mdau nasikia pia kwenye website yao wametoa lakini website yao haifunguki tangu juzi twaomba kwa aliyefanikiwa basi atuletee tangazo hilo na huku. Mimi niliomba nafasi ya Warden
Mdau hongera kwa kutoa machungu yako hapa. Laikini kama uko makini zaidi na mfumo wa elimu Dr. Ndalichako is less concerned na matokeo mabovu kwani NECTA inafanya kazi ya kutunga na kusahihisha mitihani kwa mujibu wa Muhtasari husika. Nijuacho mimi anayetakiwa kujiuzulu ni Kawambwa, Mulugo na...
Uvivu wa kufikiri wa viongozi wakuu wa bunge ndiyo chanzo cha yote haya. Dua ya kuliombea bunge ina kipengele .. . haki itendeke... haki hiyo ni kwa CCM tu? Tafakari kama wameshindwa kuongoza bunge wajiuzulu kwani lazima?
Kinachomuumiza ni uzembe wake wa kutaka kuficha uozo wa serikali na atakufa kwa pressure, me siko yeye alidhani Sita alikuwa anafaidi. Mburura hawa mwaka huu lazima wakione unakumbuka CDM walishasema huu mwaka ndo wenyewe wa kuionesha serikali njia.
Uwezo wa kufikiri wa Spika, Naibu spika na Mabumba umefika mwisho wanachokifanya sasa ni kuahirisha vikao vya bunge ili tarehe 8/2/2013 ifike waahirishe kikao hadi April kweli Makinda na Ndugai wameishiwa sera. Totaonana 2015 bado miaka 2 wacha waendele na uzembe wao wawaandae vijana kuingia...
Hicho kikao kilikaa katika wodi mojawapo pale Mirembe nini? Nina wasiwasi na hilo azimio la kwanza dawa ni kuzileta na kuzisambaza hizo hoja huku uraiani sasa.
Nilikosea sana kumkosoa kaka yangu alowahita chadema genge la wahunikajifunze kwanza kusoma darasa la kwanza "hapo kwenye red" kwa uozo huo tu AKILI YAKO NDOGO HAIWEZI KUTAWALA AKILI KUBWA YA WANAJF
Mburulaaaaaaaaaaaaa! umetumwa na Ndugai nini? Hili bunge umelifuatilia tangu lini na umeona lini haki imetendeka kwa wapinzani? Hebu jiulize yale aliyosema Kigwangala asubuhi angeyasema mbunge wa upinzani angefanywa nini? Huyo Ndugai ni bingwa wa kuwatoa nje wabunge wa upinzani mbona Kigwangala...
Kweli ukomo wa akili ndogo kutawala akili kubwa umeonekana leo. Wakati wabunge wa upinzani wamesimama wanaimba CCM, CCM, CCM ... niliwasikia baadhi ya wabunge wa CCM wakisema kwa sauti watoke haoooo.... Kumbe kila siku wanazitupilia mbali hoja za Upinzani kwa kujua kuwa watatoka nje, leo imekuwa...
Ndugai ameahirisha bunge na kuita kamati ya uongozi nimeipenda hii ya leo na kesho wakileta kulindana KI CCM UPINZANI WAWAADABISHE KWA KUSIMAMA MWANZO MWISHO MPAKA WAJIREKEBISHE, kIBABU CHA kONGWA HOOOOI
Njia waliyoitumia kambi ya upinzani leo ni bora kuliko ile ya kutoka nje, maaanake wakitoka Mafisadi huendelea kutawala. Ndugai hayawezi aache ukweli uanikwe mbona vitu viko wazoi huu uzembe mpaka lini? Aibu kubwa kwa naibu spika hafuati kanuni wala nini eti "Hakuna kuhusu utaratibu wala...
Kweli huyu ni mzee wa madesa mimi nilishangaa hata hoja yake binafsi aliileta lakini hakuwa na vyanzo vya mapato sasa unaanzishaje benki halafu huna vyanzo vya mapato kumbe kadesa. Jina si lake, ubunge si wake na kumbambikia Bashe kwamba si raia. Je, ina maana baada ya Kigwangala kuwa mbunge...
Huyu Dr. Vitumbua (Kigwangala) si ndiye aliyemtisha mwenzie wa CCM kwa bastola huyu katiak vile viuchaguzi vyao vya Chama Cha Mafisadi? Na huyuhuyu Ndugai na Mabumba ndiyo mabingwa wa kuwatoa wabunge nje wanapokaidi amri za kiti? Ajabu leo licha ya Mwanasheria wa Serikali kukerwa na Kigwangala...
Huyu Dr. Vitumbua (Kigwangala) si ndiye aliyemtisha mwenzie wa CCM kwa bastola huyu katiak vile viuchaguzi vyao vya Chama Cha Mafisadi? Na huyuhuyu Ndugai na Mabumba ndiyo mabingwa wa kuwatoa wabunge nje wanapokaidi amri za kiti? Ajabu leo licha ya Mwanasheria wa Serikali kukerwa na Kigwangala...
Mdau hii hoja imeshiba sana kwa yeyote anayetafakari kwa kina ila yoyte haya yanatokana na; UZEMBE, UBINAFSI, RUSHWA, KUJUANA NA UZEMBE WA KUFIKIRI WA VIONGOZI WAANDAMIZI.
Kukomaa kwa rushwa nchini kulikofugwa na kuendelezwa na viongozi wetu waandamizi. Pia uwezo mdogo wa kufikiri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.