Recent content by Bico Ilomo

  1. Bico Ilomo

    Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

    Ila tafakari ya kutosha inahitajika kuhusu sheria zetu. Kama mashtaka hayo makubwa, yenye kuumiza sana watu yakabaki kuamuliwa hatma yake kwa maoni ya mtu tu ni hatari zaidi. Nashukuru serikali imefuata hukumu ya umma. Umma ulishahukumu "Mbowe siyo gaidi".
  2. Bico Ilomo

    Naomba msaada wa mwenye "connection" ya kuagiza pombe kutoka South Africa

    Habari wana JF! Bila connection hapa duniani huwezi kutoboa. Naombeni mwenye connection na biashara ya ku import wine and sprit toka South Africa au India tujuzane hapa Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Bico Ilomo

    Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

    Habari wana Jf! Bila connection hapa duniani huwez kutoboa...naombeni mwenye connection na biashara ya ku import wine and sprit toka South Africa au India tujuzane hapa Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Bico Ilomo

    Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Hiriki inavunwa kwanzia mwez wangap Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom