Recent content by bibliatimes

  1. bibliatimes

    Madhabahu aliyojenga Ibrahim

    MADHABAHU ALIZOJENGA IBRAHIM 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Katika Biblia, Ibrahimu alijenga madhabahu katika maeneo mbalimbali kama ishara ya ibada kwa Mungu, shukrani, na imani. Hapa ni madhabahu kuu alizojenga: --- 1. Shekemu (Sikemu) – Mwanzo 12:6–7 Baada ya kuitwa na Mungu na kufika Kanaani. Mungu alimtokea...
  2. bibliatimes

    Mbinu za kukusaidia kuomba vizuri kwa muda mrefu - 1

    MBINU ZA KUKUSAIDIA KUOMBA VIZURI KWA MUDA MREFU-1 Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Bwana wetu. Leo nataka nikupe mbinu kadhaa za kukusaidia kuomba vizuri na kwa muda mrefu. Hakikisha Unafuatilia somo hili Hadi mwisho na Mungu atakuinua viwango vingine kimaombi. Ni muhimu sana kwa mwana...
  3. bibliatimes

    Ushuhuda ukusaidie

    USHUHUDA HUU UKUFUNDISHE KITU 👇♨️♨️♨️♨️👇👇 [5/15, 11:59 AM] wione FX: Ngoja sasa nishuhudie mafunuo yangu juu ya semina ya hii ya tano. Maana jana niliskiliza sikumaliza...sasa asubuhi hii nikairudia 😭😭😭😭 Mungu anasema , Mungu anasema n Mungu ni mwaminifu hakika Mungu mwacheni abaki kuwa...
  4. bibliatimes

    Mungu hufanya kazi kwa majira

    Haleluya Haleluya Haleluya. Nimejifunza: KUFANYA JAMBO SAHIHI KATIKA WAKATI USIO SAHIHI SIYO SAHIHI. MUNGU wetu ni MUNGU wa ratiba ni MUNGU WA wakati hafanyi mambo kienyeji maana yake kama ninasikia kiu ya kuomba leo ama msukumo wa kuomba niombe nisiseme nitaomba kesho maana MUNGU anaachilia...
  5. bibliatimes

    Ukweli wa kukuweka huru ni huu

    KUKATAA MAARIFA NI KUMKATAA MUNGU ✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️ Kuanzia wiki hii unapopiga simu hakikisha pia umeandika semina kama alama ya kumtaka Mungu Hii ni kwa faida Yako Ili hata Mungu akikuponya uwe na maarifa ya kutunza ulichopokea Moja ya sababu ya baadhi ya watu kuutukana ukristo ni kwasababu...
  6. bibliatimes

    Mume bora ni yupi?

    Leo nataka niwasaidie wadada kwenye mahusiano. Na ukinielewa leo hauwezi ukaingia kwenye hizi kesi ambazo zimetesa wanawake wengi, wadada wengi sana. Unaingia kwenye mahusiano na mwanaume anakupa mimba anakuacha. Nataka niwaambie wanaume wanaofanya hivi wanakosea sana na ni uovu mbele za Mungu...
  7. bibliatimes

    Bila roho mtakatifu huwezi kumuelewa Mungu

    Watu wengi wanajaribu kumfahamu Mungu kwa akili zao na hii imekuwa sababu ya wengi kuangukia kuzimu watu wengi pia wamekuwa wanafanya kosa la kudhani Mungu ana akili za kibinadamu na kufikiria kuwa maamuzi yake ya kibinadamu Mungu ni roho na anaishi ktk ulimwengu wa roho na ulimwengu wa roho...
Back
Top Bottom