1timotheo 1; 7-10 inasemawapena kua warimu washelia ingawa hawafaham wasemayo kwa uthabiti lakini twajua yakuwa sheria ni njema kama mtu akiitumia kwanjia iliyo halali ms;9 akilifahamu neno hili yakuwa sheria haimhusu mtu wahaki, bali waasi, na wasio wataratibu, na makafiri, na wenye dhambi, na...
polesana nakushauli uokoke na kutubu dhambi kiukweli biblia inakataza kwamsisitizo kua wote wanao tenda mambo kamahayo wata hukumiwa adhabu soma warumi 1;18 inasema kwamaana ghadhabu yamungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wawanadamu waipingao kweli kwauovu/ ms;21...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.