Recent content by Bibi mima

  1. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    Mkuu Eberhad naomba uni PM namba yako maana naona nitajifunza vyema kwa shamba darasa..mm Niko Moro,namalizia kujikusanya nianze kupambana.hizi ajira za kunyanyasana zimetuchosha..!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    Mi nadhani huu Uzi ungeendelea coz umetusaidia wengi Jamani kubadilisha fikra zetu..hongera sana Mkuu Eberhard..!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Na unapatikana wapi Mkuu?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kuangua vifaranga kwa njia ya Kienyeji

    Mkuu malila!hongera sana..kuna swali la lishe watu wamelisahau,kuku anayelalia n vyema akajengewa eneo maalum na kupewa chakula cha kutosha ili kufanya asipoteze muda Mwingi kutafuta chakula huku akiacha mayai yakipoa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Nice talk..
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa ambao walikuwa hawajaona Mashine ya Kutengeneza Chakula Cha Kuku ilivyo,

    Mkuu Don Mango unanunua broiler au kienyeji na kwa uzito huo unaoffer nei gan?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Kama hutojali ningependa kujua unafugia mkoa gan Mkuu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Mkuu Muhala tunashukuru kwa kutuhamasisha..nitakutafuta...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa tiba ya kuku

    Hongera Mkuu tired,huo n mwanzo nzuri...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ukiona wenzako wanavyofanya ufugaji wa kuku, Mabanda yao walivyojenga, kwa hakika hutaacha kufuga

    Mkuu Second lieutenant,nashukuru,nitakutafuta..
  11. B

    JamiiForums Tanzania Study tour 2015

    Mkuu malila hongera sana..Mara zote nisomapo comment zako na thread zako huwa unanipa moyo sana...mungu akubarik...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

    Mkuu kisima..hapo Moro uko maeneo gani?na kama hutojali naweza pata eneo la bei rahisi kwa kilimo na ufugaji...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Safari yangu 2

    Well said...!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ukiona wenzako wanavyofanya ufugaji wa kuku, Mabanda yao walivyojenga, kwa hakika hutaacha kufuga

    Mkuu unaruhusu mtu kupata uzoefu katika shamba lako...
Back
Top Bottom