Hamjambo Watu Wazuri,
Nilisoma juu ya "ubuntu." Bado ni tumilia mazungumzo ya kila siku au ni oni ya historia tu?
Nafahamu ubuntu kama "mimi ni mtu kwa wengine watu tu, mimi si mtu bila wengine."
Mmarekani W.E.B. Dubois aliandika katika kitabu, "The Souls of Black Folk", labda, maoni...