1. Aiseee ww ni noma, unatumia kinga au kupima HIVI kabla ya kuonana na wapenzi wako? SINA UHAKIKA na hilo kama unazingatia kwa tabia unayofanya..
2. Muombe mungu wako akusaidie uenda ni tabia yako ,lkn dunia itajibu unachofanya ,kwan duniani ni funzo tosha. Mauti ipo tu...
1. Wakati mwingine tunajitakia kwa nn ww mwanamke unaenda kwa shoga yako alafu shoga yako amevaa nguo ya kutamanisha kiasi hicho ,hata ningekuwa mm ningetamani kwani maumbile ya mwanamke kwa mwanaume lazima upate hisia kali na kutamani ndivyo wanaume wameumbwa ,sijui kwa upande wako ulikuwa...
1. Muombe Mungu akusaidie nalo litapita
2. Mchunguze shoga yako nikweli aliyokuambia kweli mme wako amefanya au shoga yako anataka kuaribu ndoa yako...mashoga wakati mwingine anatengeneza habari tu..duniani rafiki wa kweli ni Mungu wako.
3. Km unampenda mme wako jaribu kusolve mbn issue ndogo...
Mungu ni mwaminifu sana ktk maisha ya duniani lazima kuish kwa umakini sn na watu kwa sababu unapopata shida ndy unajua tabia za watu walivyo lkn km hauna matatizo yyte ni ngumu kujua tabia walizonanzo.
Usivunjike moyo mme wako ndy mungu kakupangia usivunjike moyo atapata kazi nyingine na...
1. Cha msingi yeye aendelee kutafuta pesa utapata unayemtaka ,umri cyo issue mpaka miaka 35 unaoa.
2 tabia yako ikae sawa sidhani km kuna mwanamke atavumilia tabia mbovu ya mwanaume.
3. Muumbe Mungu hakuna kinachoshindikana kwake. Usikate tamaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.