Recent content by Bia batta

  1. Bia batta

    CLEARING AND FORWARDING COMPANY FOR SALE.

    Clearing and Forwarding company is available for sale. Company has; 1. Clean records with TRA. 2. Valid TRA trading license. 3. Registered under TAFFA 4. Valid license and registration from.SUMATRA. price is 70 million (negotiable)....for more details, documents for reviewing and other...
  2. Bia batta

    CLEAN CLEARING AND FORWARDING COMPANY FOR SALE.

    Clearing and Forwarding company is available for sale. Company has; 1. Clean records with TRA. 2. Valid TRA trading license. 3. Registered under TAFFA 4. Valid license and registration from.SUMATRA. price is 55,000 USD (negotiable)....for more details, documents for reviewing and other...
  3. Bia batta

    CLEARING AND FORWADING COMAPNY LOOKING FOR SHAREHOLDERS/BUYER.

    If your looking for a clearing and forwarding company with below criteria. 1.Clean records with TRA. 2.Have a Valid TRA license and Trading license. 3.Valid regitration with TFAA 4.Valid Lincence and registration with SUMATRA Please don't hesitate to reach me through 0713480118 for more...
  4. Bia batta

    Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

    English ya mwendo kasi...!!
  5. Bia batta

    Adam Nditi yuko wapi?

    Kwa maono yangu ni kwamba dogo hajachelewa, kwa CV aliyonayo anaweza kuja kujaribu bahati hata league zinazolipa vizuri Africa eg. League ya south Africa au Egypt na nchi nyingine za kaskazini mwa Africa. anaweza kupata timu itakayomlipa vizuri na akaanzia hapo kusogea you never know may be...
  6. Bia batta

    Plot4Sale Eneo la hekari 53 Bunju Kialaka pembeni ya ndoto Polepole hotel.

    Brother hili sio shamba ni eneo ambalo limeshaendelezwa na sababu ya kuuza kwa ekari na sio viwanja vya sqm 900 au 1000 ni kupunguza population maana kwa eneo la ekari 53 ukigawa kwa viwanja vya ukubwa huo utainvite population kubwa sana. kingine fanya utafiti wa eneo tajwa, viwanja vya sqm 900...
  7. Bia batta

    Plot4Sale Eneo la hekari 53 Bunju Kialaka pembeni ya ndoto Polepole hotel.

    Eneo la hekari 53 lenye hati, liko bunju kialaka 1.8 km toka barabara ya bagamoyo kona ya kuingilia Lord Baden powell/Efatha seminary secondary school. Eneo lina hati ya jumla na sasa liko kwenye mchakato wa kugawanywa kwenye maeneo madogo madogo ya heka 2 au tatu na hati kugawanywa kwa kila...
  8. Bia batta

    Wasanii wa Bongo Fleva Hamid Hafidh (Ude Ude) na Iqu Junior Wafariki Dunia kwa Ujambazi

    Hahaha, mjomba kuna vitu havipitwi na wakati..mfano Timberland boots na converse all star!! Hyo kitu mpaka leo inavaliwa na bei yake inazidi kukimbilia juu, kuna baadhi ya maeneo wanauza kwa dollari tena unaweza kupigwa mpaka 300 to 500 usd.....cheki attachment hyo mzee!!
  9. Bia batta

    Wasanii wa Bongo Fleva Hamid Hafidh (Ude Ude) na Iqu Junior Wafariki Dunia kwa Ujambazi

    Siku hz hawa vijana mabishoo ndio wezi hapa town...........mwaka juzi wakati naishi mitaa ya kijitonyama alihamia kijana mmoja white braza man sana na kademu kake........kabla ya yeye kuhamia hapo kwenye nyumba nlokuwa naishi ilikuwa unaweza kuacha mlango wazi hata siku nzima na unakuta hakuna...
  10. Bia batta

    Naomba kufahamu kisimbusi kitakachoonesha Euro 2016 mbali na DSTV

    Of coz, hata mimi niliangalia game ya Russia na england kupitia ZBC2 also UBC walionyesha, hapo juu nimesema kuwa kati ya mechi saba zilizokwisha chezwa wameonyesha game mbili tu, yaani game ya ufunguzi na game ya ENGLAND VS RUSSIA, jana hakuna mechi waliyoonyesha live sana sana walikuwa...
  11. Bia batta

    Naomba kufahamu kisimbusi kitakachoonesha Euro 2016 mbali na DSTV

    Naona AZAM TV wametulaghai, kwenye matangazo yao wanasema wataonyesha mechi 51 (yaani mechi zote za mashindano)but mpaka sasa wametuonyesha mechi mbili tu na kuna mechi zaidi ya saba zimeshachezwa....either wangetuambia kama wana percent flan ya haki za kuonyesha hizi mechi au walikuwa...
  12. Bia batta

    Euro 2016 ndo hyo iko kwenye kona tuchague timu sasa!!

    Mida ya games ni saa moja usiku na saa nne usiku, pia kuna mechi zitakazokuwa zikichezwa saa kumi jioni especially weekends!!
  13. Bia batta

    Euro 2016 ndo hyo iko kwenye kona tuchague timu sasa!!

    Leo mzee, Mechi ya ufunguzi saa nne usiku FRANCE VS ROMANIA, unfortunately GREECE hawapo this round so unaweza kusimama mahali pengine....!!
  14. Bia batta

    Euro 2016 ndo hyo iko kwenye kona tuchague timu sasa!!

    Noted Mr "Chizi Maarifa" be blessed and have a nice day!!
Back
Top Bottom