Euro 2016 ndo hyo iko kwenye kona tuchague timu sasa!!

Bia batta

Member
Aug 18, 2015
66
34
maxresdefault.jpg
slovakia-euro-2016-home-kit-1.jpg
Wanandinga wenzangu hasa wapenzi wa kabumbu la kimataifa euro 2016 ndo hyo imesogea, embu kila mmoja aseme atasimama na chama gani....mimi huwa napenda kusima na underdogs au ile wanaita Dark horses so mimi ntashabikia "SLOVAKIA" ikiniangusha ntarudi Croatia au Turkey..!!
 
"..........mimi ntashabikia "SLOVAKIA" ikiniangusha ntarudi Croatia au Turkey..!!" NIMEKUJIBU "SAWA" sasa hapo hujaelewa nini ndugu yangu?
 
#Belgium #Romania hazipewi nafasi ila watafanya maajabu #waingereza kama #taifa stars wanacheza na vyombo vya habari
 
euro inaanza ln wakuu?, mm chama langu MABAHARIA wa kigiriki.
 
euro inaanza ln wakuu?, mm chama langu MABAHARIA wa kigiriki.
Leo mzee, Mechi ya ufunguzi saa nne usiku FRANCE VS ROMANIA, unfortunately GREECE hawapo this round so unaweza kusimama mahali pengine....!!
 
Back
Top Bottom