Huu ushauri naupa nafasi ya kwanza mkuu.
Lkn nafasi ya pili ni biashara ya mazao,hii huwezi kufanya nyakati zote,wewe nunua wakati wa mavuno afu weka,uza baadae. Chagua mazao mfn. Karanga n.k.
Kivip yaani?! Ushirikina ni kushabikia demokrasia ikikanyagwa. Mnafaika pekee wa wizi na udhaifu wa uweledi kiuongozi ndio ana huo ujasiri wa kushabikia.
Kwani kuua na kutesa watu haitoshi,sasa mnataka kufunga chama,makanisa Na sijui nini kingine kitafuata,lkn bado sio dawa. Kifupi wala keki...
Tena hicho kikundi kinapewa support kbs na polisi na usalama. Hakuna siri tena. Serikali kuua raia for fun ni kosa kubwa sana. Yaani mtu kachoma picha mnaua.
Maendeleo yapi na upotoshaji upi?! Sio lazima utetee kila jambo.
Tanzania tunasapoti ustawi wa kikundi fulani cha watu serikalini na sio ustawi wa watanzania. Very wrong.
Nadhani watanzania tujue kuwa hii si nchi ya kidini, na haiendeshwi kwa misingi ya dini. Tumeamua wenyewe iwe nchi ya kidemokrasia lkn hatutaki misingi ya demokrasia. Kifupi watz tumekuwa vilaza maeneo hayo. Tunaendeshwa na utashi wa kiongozi aliyepo.
Tanzania viongozi wanahubiri amani ila wameshika vifaa vya kutesea na kuulia. Muda wote wanawaza hila. Hawajali haki wala utulivu. Tz hakuna haki wala utulivu, wananchi mioyoni wanachuki,maumivu na hofu vinachemka.
Wasio na Mungu wanafurahi damu ikimwagika. Tumeingiwa na utawala unaopenda kumwaga damu.
Kwa bahati mbaya tuna mashabiki wa umwagaji damu.
Lakini walio na Mungu lazima wapaze sauti zao kukemea umwagaji damu ni laana.
Tunajua mkuu hujali km ulaaniwe au usilaaniwe wewe ni shabiki na mdini.
Mimi sijaona tatz mkuu. Wewe ongeza juhudi na punguza matarajio makubwa kuliko unachofanya. Nenda kidogokidogo ukisevu kidogo unachokipata kwa ajili ya malengo makubwa uliyojiwekea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.