Uwezo wa mtu kufikiria ukifikia ukomo huanza hutafuta namna ya kulazimisha mawazo.Wewe unayemtukana Tundu Lisu jitafakali ueifanyia nini Tanzania pamoja taaluma ulifundishwa ya kutukana.Fanya jambo ili liwe hazina kwa wale watakaosoma comments zako.unless otherwise Mungu akusamehe kwani...
. Unajua kazi ya kupeleka huduma za afya, barazara ni za serikali na si za Mbunge. Kazi ya mbunge kwa wapiga kura wake ni kusimamia bajeti iliyoainishwa na serikali ktk jimbo lake iweze kufika kwa wakati. Na wakati wa implimentation, mbunge atashirikiana na wananchi wake. Au nakosea? Kunyima...
Its better to give somebody credits once we acknowledge his or job performance, honestly , intergrity and maximum achievements.Development can be experienced thr good leadership/governance, freedom of expression, and transparancy. Real president Maguful is Among of 45/100 president who tries...
Tanzania kuna vyuo vya uongozi hivi hawakupitia huko wajifunze.Nani alisema ukitaka kuwa kiongozi bora gandamiza uhuru wa democrasia ya watu unaowaongoza.Its lack of focus and beeing visionary.
Mweshimiwa ,Mabula (Ngosha) , siasa za Nchi za ukanda hasa ulio chini ya jangwa la sahara zina mshabiliano, kwa maana ya ufashisti. Wewe Ngosha / Mabula unamtaka Nape aseme nn ,na asiseme nn. Wewe ni mzalendo , mwsna Democrasia ya kweli. Ukijua kweli kweli itakuweka uhuru. Unatumainia kuishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.