Recent content by BHUJO

  1. B

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye aliwakodi wafanya fujo kwenye mdahalo wa leo

    kifo cha ccm kinakalibia vijana ambao wanastaili kuwapokea wazee wao kukiongoza chama chao akili zao, tabia zao, busara zao, upeo wao, maamuzi yao ni vurugu na Heshima yao kwa baba zao ni kuwa piga na chupa waasisi wa chama chao, wenye kuiongoza tasisi ya muasisi wa chama chao ccm...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bunge la Katiba la CCM laanza kuchakachua akidi ya theluthi mbili, Mbunge wao afichua siri

    na yule aliyekua aakianguka kipindi cha kampeni ni mzima kuliko Kessy au unakwepa hoja
  3. B

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kikao cha Diallo na Deus Mallya chavuja movie ya Kifo cha Chacha Wangwe

    hii ni aibu kwa serikali ya ccm badala ya kuja na majibu ya kwanini wameibua rasimu feki ya serikali mbili wanaleta maigizo ya kushirikisha unyama wao waliouandaa kuua ndugu zetu wanadhihaki ndugu wa marehemu chcha wangwe Mungu mlaze pema peponi, wandhihaki ukimya wa familia ya Mwangosi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    itamhusuje wakati malengo yake nikuua upinzani na si kuimalisha, hivi mtu mwenye nia njema anaweza aakawa anaombea ubaya auwafike watu anao wapenda ningemwelewa kama angekuwa anatoa ushauri nini ukawa wakifanye ili wazidikuikaba ccm
  5. B

    JamiiForums Tanzania Katika hili, CCM msipotoa tamko litakimaliza chama kabla ya 2015

    aah namhurumia sana huyu jamaa nahofia yanaweza kumkuta ya babu seya, ushauri wangu aanze mbale kabla hayajamkuta makubwa.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasayansi kutoka nchini Japan, amegundua miwani ya ajabu

    Avalishwe kwanza aliye igeuka na kuiponda tume aliyoiunda mwenyewe na kuipokea na kuisifu na hatimaye kuidhinisha iende kujadiliwa bungeni, badaye kuigeukia na kuanza kuiponda kana kwamba haijawahi kupitia kwake.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    kwani zitto ni mfanyibiashara hadi kujitoa kwenye kundi hilo, inamaana wanaomwamini yeye ni majuha
  8. B

    JamiiForums Tanzania Manyerere Jackton: CHADEMA, ruzuku iende mpaka ngazi za chini

    Bora cdm ina toa maelezo kwa kina nenda rumumba kahoji mapato ya viwanja vya mpira, vya wazi maegesho ya magari usiku,ruzuku na misaada ya wafadhiri kama utarudi na jibu zuri. Hongera kamanda makene endelea kuwapa darasa cdm hamna giza ni nuru, nyeupe ni nyeupe...
  9. B

    JamiiForums Tanzania LOWASA akiwa RAIS, mafisadi wafuatao wajiandae kukimbia nchi

    alipokuwa waziri mkuu mbona hakuwa chukulia hatua yoyote?
  10. B

    JamiiForums Tanzania LOWASA akiwa RAIS, mafisadi wafuatao wajiandae kukimbia nchi

    SIJAWAHI SIKIA VICHAA WAKIFUKUZANA HAO WOTE WEZI, NAONA UNGESEMA DR. SLAA AKIWA RAIS ORODHA ULIYO IYORODHESHA HAINA BUDI KUKIMBIA. AKIWA LOWASA WATAAMBULIA KUPEWA MADARAKA NA BALALI ATAFUFULIWA NA MITUME FEKI...aka kikombe cha babu,,
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    ningefurahi iwapo wewe usiye na wivu wa kike kama unge tufungua tujue huo utajiri wake, kwa ulivyo mtetezi sina shaka unajua kaupataje utkwasi huo. Maana toka kijana amekuwa mtumishi wa serikali sasa sijui kuhoji mtumishi kumiliki maa bilioni ni wivu mbaya?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    kweli buku saba zina nguvu ukipata nafasi ya kukutana naye muulize baada ya mwakyembe kusoma ripoti ya kamati ya richimond alilalamika kwamba kuna watu wanataka kumuua, pia alilipoti hadi polisi jinsi anavyo windwa. Hatimaye yalimkuta ya kumkuta je huyo kipenzi cha watu analisemaje mkono wake...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    unategemea hao rafiki zake atawalipa nini na kipi kinawapelekea kudhamini kiasi kikubwa cha fedha kumpigania urais? mpaka sas si chini ya bilion 9 alizotoa je yeye kabaki nazo ngapi na ikulu kuna biashara gani itayo rejesha fedha hizo? kama kweli ni wafanya biashara kiasi hicho wangewekeza...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    kama alichokifanya ni kizuri hata ukikirudia mara 100 hakiishi radha ila sema huna ulijualo jema lolote alilo lifanya zaidi ya madudu yake ya richmond ndo maana unashindwa kulieleza
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dr slaa ziarani katika mikoa ya shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida.

    kigoma ni nchi au mkoa tunakuja
Back
Top Bottom