Katika hili, CCM msipotoa tamko litakimaliza chama kabla ya 2015

Ukiwa na akili ndogo utahusisha mambo binafsi na chama,kwani CCM ndio imtuma akatapeliwe au ndio ilimchagulia mume na kuiandaa harusi hiyo.
 
Ha ah ah ah ah ah ah aaaaaaaaaaaaaaa hu hu hu hu hu uuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiiii he he he he he jamani mtanivunja ubavu kwa kicheko
 
Siasa ni mchezo mchafu,

Sentensi hiyo hapo juu inamaana kubwa sana japo ni fupi na yakipuuzi kabisa,

Chama pendwa cha mapinduzi (yamaneno) ccm jana kilitarajiwa kupata ugeni, nasema ugeni kwamaana ya mu uvccm wao Vick Kamata alitaraji kuiasi kambi ya makapera na kuingia jumuiya ya wazazi ccm,

Hii ni hatua kuu na ya kujivunia kwa chama hiki kinacho lazimisha kuendelea kufilisi taifa huku kikiwa na mchoko mkuu wa kiutawala,

Binti mbichi Vick Kamata ndoto yake yakuvishwa pete ya ndoa imeyeyuka baada ya mme mtarajiwa kuwekewa zuio kwa madai kuwa ni mtaalamu wa kuoa na kuacha aka tapeli wa mahaba, roho, na mwili.

Tukio hili limekitia doa chama hiki na kukifanya kiaminike kuwa ni chama chenye kila aina ya uchafu duniani,

Kwanza haya yanatoke ambapp uongozi mzima wa juu wa chama hiki hauna maadili mema kifamilia na kisiasa, wote ni wachafu haifai hata kusimulia.

Lakini hili limegusa masikio ya wengi na kufanya chama kitopee kabisa kwenye lindi la ufuska, na njia pekee ni chama kutoa tamko ama la kumpa pole mwanachama wao ama kujitenga nae na kuueleza umma kuwa suala hili ni lake binafsi, japo hawawezi kulikwepa kwakuwa wabunge karibu wote wa ccm ndio waliokuwa wanakamati ya maandalizi ya harusi hiyo.

Katika hili ccm msipotoa tamko litakimaliza chama kabla ya 2015.
Mkuu tayari umeshavamia na akina Chooni = MSALANI

Ila mama kapata aibu ya mwaka!! Hivi naye bado m-uvccm? Huwa hawana ukomo wa umri hawa mamburura?
 
Siasa ni mchezo mchafu,

Sentensi hiyo hapo juu inamaana kubwa sana japo ni fupi na yakipuuzi kabisa,

Chama pendwa cha mapinduzi (yamaneno) ccm jana kilitarajiwa kupata ugeni, nasema ugeni kwamaana ya mu uvccm wao Vick Kamata alitaraji kuiasi kambi ya makapera na kuingia jumuiya ya wazazi ccm,

Hii ni hatua kuu na ya kujivunia kwa chama hiki kinacho lazimisha kuendelea kufilisi taifa huku kikiwa na mchoko mkuu wa kiutawala,

Binti mbichi Vick Kamata ndoto yake yakuvishwa pete ya ndoa imeyeyuka baada ya mme mtarajiwa kuwekewa zuio kwa madai kuwa ni mtaalamu wa kuoa na kuacha aka tapeli wa mahaba, roho, na mwili.

Tukio hili limekitia doa chama hiki na kukifanya kiaminike kuwa ni chama chenye kila aina ya uchafu duniani,

Kwanza haya yanatoke ambapp uongozi mzima wa juu wa chama hiki hauna maadili mema kifamilia na kisiasa, wote ni wachafu haifai hata kusimulia.

Lakini hili limegusa masikio ya wengi na kufanya chama kitopee kabisa kwenye lindi la ufuska,
na njia pekee ni chama kutoa tamko ama la kumpa pole mwanachama wao ama kujitenga nae na kuueleza umma kuwa suala hili ni lake binafsi, japo hawawezi kulikwepa kwakuwa wabunge karibu wote wa ccm ndio waliokuwa wanakamati ya maandalizi ya harusi hiyo.

Katika hili ccm msipotoa tamko litakimaliza chama kabla ya 2015.

hata slaa naye aliwekewa pingamizi, mbowe naye kazaa nje, je hayo ya kwenye nyekundu hapo juu haya-apply kwa chadema?
 
thubutu yake huyo nwanaume yaani uoe kitu ya mkulu!!,hiyo haipo na wala hakuna utapeli wowote jamaa kaitwa pembeni kaulizwa swali moja tu"UNAMFAHAM BABU SEYA"? jamaa akasema "NDIO"akaambiwa basi za kuambiwa changanya na zako!!
 
we dogo sijui siku hizi unavuta? mambo ya Vick kamati ni yake binafsi, sasa ccm inaingiaje hapa? unajuaje hata huyo muoaji aliyeingia mitini huenda ametoka kwenye saccos iitwayo chadema? I am real fealing very sorry kwa Vick kwa haya yaliyotokea na mungu ampe subira najua ni wakati mgumu na sikwa sababu ya kuingia mitini kwa huyo jamaa ila kwa muonekano wake kwenye jamii (na namshauri vick aendelee na maisha yake kwani haya ni mambo ya kawaid tu na yeye ni innocent kwani alikuwa hajui chochote) ila wavuta bangi kama nyie mmemgeuzi mtaji wa kisiasa. ovyo kabisa

Back
Top Bottom