JF naikubali, ni kisima cha elimu, uzoefu na maarifa ya kila aina, isitoshe kuna waungwana kibao. Mwenzenu nimekwama, naombeni waungwana mnisaidie. Biashara zangu zimesimama kwa kukosa mtaji. Nimejaribu kutafuta mkopo benk zote ninazoenda sikidhi masharti yao. Nimejaribu kuuza kiwanja changu...