Kiwanja Kinauzwa

Bhozo

Member
Feb 23, 2013
8
0
Kiwanja chenye ukubwa wa hatua za miguu au mita 35 kwa 28 kinauzwa sh. mil. 6 Chanika Mwisho karibu na barabara ya lami na karibu na kituo cha daladala, kuna umeme na gari inaingia hadi ndani bila tatizo, kiko eneo safi la makazi ya watu ni pazuri na tambarare, hakijapimwa ila hatua ya awali ya upimaji tayari imefanyika. Kwa anayehitaji kupaona na kununua tuwasiliane 0769 449485
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom