Recent content by bhokemsama

  1. B

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Jaman jiungen na vicoba endelevu muweze kupata mkopo wa riba ndogo kabisa ya 10% kuliko kulalamika weee
  2. B

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Kwakwel rekebisha figure yako maana c kwel hiyo lazima ni mil3 na si laki3
  3. B

    Madeni yalivyotaka kuniua njaa

    Atakula mawe kwel kwasababu unatakiwa uchukue hela uongezee kwenye biashara ili ukuze kipato uweze kurejesha sasa kama unachukua unajengea nyumba lazima uone bank wqnakuumiza pole mkuu next tym utakuwa umeelewa nini maana ya mkopo
  4. B

    Nataka kununua bajaj ushauri please

    Bajaj nzuri ni TVS from india zinauzwa mil5 na kitu
  5. B

    kanuni ya kukokotoa mkopo wa wafanyakazi nmb

    Interest ni 18%based on reducing balance
  6. B

    kanuni ya kukokotoa mkopo wa wafanyakazi nmb

    Wakuu jaman hapa kwenye system ni lazima nipate nione salary slip yako inanilazimu niingize makato yote ndo tupate actual amount makato kama PAYE,vyama vya wafanyakazi,etc so be specific unamakato yapi na yapi
  7. B

    kanuni ya kukokotoa mkopo wa wafanyakazi nmb

    Kwa miaka 5 subir niingie ofcn then nicalculate kwa excel nikupe jibu kamili
  8. B

    kanuni ya kukokotoa mkopo wa wafanyakazi nmb

    Kama take home ni hiyo 950000 take ua net salary times 22 then u wil get 20mil n 700 thou
  9. B

    kanuni ya kukokotoa mkopo wa wafanyakazi nmb

    Nasdaz things have changed nmb now....interest rate for salary workers ni 18% we are offering up to 5 years now also BOT regulation now ni should not exceed 60% of net pay kwa huyu anaeza kupata more than 7mil
  10. B

    Msaada: Gharama za kutuma pesa kutoka benki moja kwenda nyingine

    Kama ni below 10m kafanye kwa EFT it wil take only 48 hrs kureflect kwa other bank
  11. B

    Msaada: Gharama za kutuma pesa kutoka benki moja kwenda nyingine

    Min charge ni elf5 na max charge ni elf10 but amount above 10m kuna plus charge ya 0.25% ambayo haizidi elf35
  12. B

    Nafasi za kujitolea za JKT kwa mwaka 2014

    Mbona jkt washaingia since march ndo ntolee hiyo mpaka mwakan mwez wa pili ndo wanachukua batch jingine zoez hili lilikuwa nchi nzima mbona
  13. B

    Unataka kuagiza nguo kutoka nje

    Ok nimekuelewa picha za sample za nguo za watoto basi maana nina duka la nguo za watoto na vp kuhusu transport from ukraine hadi bongo?
  14. B

    Unataka kuagiza nguo kutoka nje

    Kassamali njoo chemba basi
Back
Top Bottom