Recent content by Bhikalamba

  1. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Freeman Mbowe. Hapendwi mtu ila pesa kwanza. Anamchukia TAL kuliko ambavyo angemchukia SSH aliyemtia gerezani miezi 8+ bila kosa!!

    siasa ya kuteka watu, kuwatesa, kuwaua, kuwabambikia makesi makubwa ya uongo na kuwafunga, bado unasema siyo uadui kweli???
  2. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

    Naunga mkono hoja, waachwe wadai haki, demokrasia na uwajibikaji
  3. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Mheshiwa Lissu kajitetea vibaya kwenye kipengele cha heshima kubwa aliyonayo kimataifa

    Nilijua ni kavulata kumbe ni kavulana. Ndo maana hoja yako ni dhaifu na mfu.
  4. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU, Jakaya Kikwete kabla ya uchaguzi wa kihistoria wa 2026

    Mkuu pita kwa Mangi hapo upate moja ya baridi, nitalipia
  5. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Keep waiting , Barua ishaandaliwa

    Hiyo code ya pili imekuwa ngumu kidogo, au unamaanisha Ka-ngirimaji Lugomola maana huyo kwa rhumba, usiseme.
  6. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Kuhusu tuhuma dhidi ya Heche, hadi sasa sizikubali

    Well said
  7. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Kutoka 'Kaisari wa Wanyonge' hadi 'Kiwanda cha Machawa': Je, JPM ndiye aliyetuharibia siasa zetu au waliomfuata wamezikuza?

    Wote kwa pamoja. JPM- muasisi wa uchawa, utekaji na udidimizaji demokrasia SSH- mwendelezaji aliye kubuhu.
  8. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Dereva wa John Heche Polisi wamepata pa kuanzia, waanze na John Heche kufanya uchunguzi

    Nilikuwa nakuona kama mwenye akili kumbe nawewe ni chawa na poyoyo!!
  9. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Mawaziri Mizigo kuwahi kuteuliwa Tangu 1995-2026

    21. Innocent Bashungwa, akiwa waziri wa mambo ya ndani utekaji na mauaji ya raia yalizidi kipindi chake.
  10. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Marekani yaondoa baadhi ya masharti makali kwa Tanzania

    Tayari Nchimbi na Kombo wako huko USA kuongea na beberu asiweke vikwazo. Badala ya kusema wameufyata jipongeze kwa jinsi mlivyo walilia wawasamehe.
  11. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Natongozwa sana kazini, halafu ni walionizidi umri

    Subiri tumalize Maandamano tarehe 7/7, then nitakutafuta unipe vodafasta cha moto moto. Nadiriki kusema we utakuwa mtamu.
  12. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta nimewakumbuka watu waliotekwa (kina Polepole)

    Bi Kilembwe na lichama lake wanalazimisha wote nyeusi tuiite nyeupe
  13. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Muda ni Mwalimu mzuri sana: Siasa ni kama upepo, hubadilika wakati wowote

    Hii naisevu kama reference.
Back
Top Bottom