Recent content by bheri

  1. B

    JamiiForums Tanzania Watu 9 mbaroni kwa tuhuma za Utapeli Mtandaoni, kampuni ya Q Net yatajwa

    Kuna anko wangu mmoja katolewa huko kijijini kaletwa hapo mbezi eti kuna kazi na kaja kimya kimya, kufika hapo akaambiwa anatakiwa atoe pesa Sh M 4.5. Ndio akaanza kunitafuta ananielezea hizo habari, nikamwambia unatapeliwa kashupaza shingo nimenyamaza kimya.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Afya ya ubongo pamoja na maendeleo yake kwa watoto wetu miaka 0-20

    Akipata dagaa hakuna haja ya kujisumbua kutafuta samaki?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ujue Ubongo wa binadamu ulivyogeuzwa kwa kanuni ya (High na Low) part2

    Nzuri sana japo kuna mahali umesema hii ni mwendelezo, ina maana kuna nyingine ningezipata nazo nikazipitia ningeshukru zaidi. Kazi nzuri sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Napinga LATRA kuwafungia KATARAMA kwa visingizio cha kuchezea kidhibiti mwendo

    Hapo kuna uonevu sana kuna abood ya Bukoba; Allys ya Mwanza nilisafiri nao kwa vipindi tofauti mwezi uliopita wana speed za hatari sana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mimi sio motivatonal speaker ila nina uhakika zifuatazo ndizo sababu kuu za sisi Waafrika kuwa na maendeleo duni ya kifikra na mali.

    Low IQ, ubinafsi unatuua hii ni kuanzia ngazi familia mpaka tTaifa, hakuna anayewaza future, miaka 30 ijayo nini kitahapeni so natakiwa nifanye nini sasa hivi kuweza kuifikia
  6. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo Katika Mapinduzi ya Nne ya Viwanda (Akili Bandia)

    Ahsante kwa andiko lililoshiba
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mizani ya Dukani inakaguliwa kwa kufungua Mizani yote?

    Nahitaji mzani wa kupima bidhaa za dukani nipo mlandizi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Chimbo la dawa muhimu za binadamu kwa kariakooo linapatikana wapi?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Zifahamu aina 9 za wateja ili ukuze biashara yako

    Ubarikiwe sana, umeelezea vizuri hizi aina za customers, mimi nandondokea hapo kwa mteja mtafiti. Lakini hizi aina nyingine naona zitanisaidia kwenye shughuli zangu za kila siku.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hii kuna haja ya kuwa na marafiki kweli?

    Mi mtu akisema nimkopeshe pesa, akitaja pesa ndefu mfano Kama 200,000. Kwanza namwambia sina pesa ila Kama ila nikiona shida yake IPO taiti Sana kiasi alichosema simpi chote namwambia mi niliyonayo labda 30k au 50k, nampatia Kwa kumkopesha ila sitamdai. Yeye akijisikia hailete asipoileta najua...
  11. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Hii barabara ya chalinze- kibaha ni ndogo Ina magari mengi Sana yaani haimuhitaji dereva azembee hata kidogo ni juzi tu naenda mlandizi barabara ilikuwa Inaonekana nyeupe mbele lakini lilipotokea gari la mkuu wa mkoa likiovetake lorry hata hapajulikani. Nusura tuangukie korongoni. Tulibaki...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Connection za Kibiashara

    Simple and clear. Imeeleweka Cha muhimu tumeongeza maarifa tuchukue hatuna. Ahsante
  13. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO haitakiwi itetewe Wala kuhurumiwa, ijitetee na isimamiwe

    Kusema kweli Tanesco Wana dharau Sana Kwa wateja wao na majibu ya kebehi, utafikiri hio huduma hatulipiii. Mimi ninaeongea hii ni karibu mwezi mzima hatuna umeme, walisema transformer Lina tatizo wakaja wakalitoa, Sasa hivi ukifuatilia wanakwambia eti hawana gari la kubebea transformer...
Back
Top Bottom