Muuliza swali kuna watu hapa wanacomment ujinga sabab hayajawahi kuwafika au hawajawah kugikwa kwa ndugu zao...ushauri wangu usiendelee kuifuatulilia comment ...hospitali utatumia pesa nyingi na mguu hautokaa sana...fungua safari ingia kwa wataalam wa jadi wa uhakika sio wababaishaji ...utapona...
Wewe wa wapi hivi..asilimia kubwa ya mifupa iliyovunjika inashindikana kufungwa hospitali....wataalam wa jadi ni kiboko wa maswala ya kuunga mifupa...na ni kwa haraka zaidi unarudi kama hujawai kuvunjika ...kama huna ushahidi ni bora utulie kuliko kuleta ubishi wa kijinga
Habarini Wana JF
Naomba kufahamishwa juu ya mazao yanayovunwa kwa wingi mkoani Morogoro kwa mwezi March-April, pia na vijiji ambavyo mazao hayo yanapatikana kwa wingi.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.