Recent content by Bhalegha

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Tanganyika: Mechi zote kubwa za Simba na Yanga kuchezwa Zanzibar

    Naomba unielimishe, 1. Kwani kwenye level ya vilabu zanzibar si inatambulika kama nchi? 2. NBCPL si iko chini ya TFF na hiyo TFF haitambuliki zanzibar kama ambavyo haitambuliki nigeria au kenya? 3. Kama jibu kwenye namba 2 ni ndio, sasa kwanini ligi iliyochini ya TFF ikachezwe kwenye himaya ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Pendekezo huru ili kuboresha "timu zetu pendwa"

    Baada ya timu zetu (klab) pendwa kuondolewa "bila zengwe" katika mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na CAF, nimejifunza mambo kadhaa; 1. Ni kweli kabisa kwamba mpira wetu ni kivyetuvyetu kama wasemavyo azam tv. Ukiangalia namna tulivyoyaendea mashindano kwa msimu huu, utagundua kuwa hata...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuwa Atheist

    Katika hili utakuwa una changamoto kwenye reasoning, mtu anayepinga uwepo wa kitu naturally anakuwa free ila anayesema kitu hicho kipo ndiye anapaswa kuthibitisha. Unamlazimishaje mtu kuthibitisha kiti ambacho yeye kashakwambia hakipo? Yaani akithibitisheje wakati hakipo?
  4. B

    JamiiForums Tanzania KERO Tumekosa vyuo, TCU tafadhali fanyeni haki; mnaowachukua 1.3–1.6, sasa sisi wengine twende wapi?

    Ni kwamba mimi ndio sijaelewa au wewe na mleta mada ndio hamjaelewa, mbona kama mfumo emwambia nafasi imejaa, yaani kosa lake ni kuchelewa kuconfirm na sio mambo ya points kwenye division?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya hivi vilabu kuwa vinawaelekeza wasanii nini wasifanye kwenye matamasha ili kutengeneza hadhi

    Na ndio hoja yangu hiyo nashukuru umeniunga mkono, kwenye bandiko langu nilisema hivi "huu uswahili swahili tunaouendekeza tukidhani tunafurahisha mashabiki (japo siku hizi simba ni kama anauweka pembeni) ndio unawapa picha wapinzani wetu wa kimataifa kuwa bado hatuko professional kiasi kwamba...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya hivi vilabu kuwa vinawaelekeza wasanii nini wasifanye kwenye matamasha ili kutengeneza hadhi

    Naamini kabisa kwamba msanii anaweza kuimba vizuri tu kwenye simba day asiitaje yanga na watu wakafurahi na kuburudika, vivyohivyo kwenye yanga day mengine hayo ni kupunguza hadhi ya vilabu vyetu. Mfano kuna mtu (ni meja au d vois sikumbuki vizuri) kwenye yanga day alisema simba wamesajili...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto kumaliza darasa la Saba ni kitu cha kuandalia sherehe?

    Kwakuwa mada yako ime cite kusini ngoja nikupe experience kidogo ambayo naamin huijui na inaweza kubadili fikra zako juu ya kile ulichokiandika 1. Wendeshaji wakubwa wa hizo sherehe kwa kusini (sio mahafali pekee, ubatizo, birthday, kipaimara, kuchezwa nk) ni wanawake na huwa ni shughuli...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya hivi vilabu kuwa vinawaelekeza wasanii nini wasifanye kwenye matamasha ili kutengeneza hadhi

    Bila shaka hujaelewa mada, kichwa cha mada pekee kilitosha kukujulisha kuwa sikuandika kishabiki ila kwakuwa ushabiki umekaa kichwani mwako, pambana.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Tshabalala kukatika kwenye utambulisho wake imenikwaza sana

    Kama umekua ukimfuatilia Tshabalala wa bongo siku nyingi utagundua kuwa ni dancer mzuri sana hivyo kwangu mimi sikushangaa kwa yeye "kukatika".
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya hivi vilabu Simba na Yanga kubadili mentality zao kiuendeshaji

    Niliangalia matamasha ya Simba day na Yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha haya kwa sasa barani afrika na duniani kwa ujumla. Msanii kiongozi kwenye tamasha la simba day...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya hivi vilabu kuwa vinawaelekeza wasanii nini wasifanye kwenye matamasha ili kutengeneza hadhi

    Niliangalia matamasha ya simba day na yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha haya kwa sasa barani afrika na duniani kwa ujumla. Msanii kiongozi kwenye tamasha la simba day...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ni Yanga Day lakini kama ulikuwa mtu makini kufatilia, Simba imetajwa mara nyingi zaidi

    Raha ya utani ni "kumpiga mtani kichwani" Tatizo linakuja pale ambapo kwa hivi karibuni Simba wameanza kuuweka kando utani hu, nahisi wamegundua kuwa hauwalipi wala hauna faida zaidi ya majungu.
Back
Top Bottom