Mkataba wake uliisha mwezi ulopita ,wakaamua kumuongezea tena ,ila kiukweli yanga inachechemea hakuna parfomance kabisa,yaani kiukweli tunabahatisha tu ,Tim haiko sawa,sab zake nazo muda mwingine haziisaidii Tim kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app