Kwa jamii yetu wa sukuma hili naona likosawa Mana unakuta binti miaka 13 kaolewa na mzee wa miaka 70 jaman kwani hili limekaaje ningeomba serikal iweinauchunguzi wa kina kwenye masuala ya krinic wanapo wapekeka wakiwa wajawaziti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.