Mkuu pengine shida ni taarifa, yapo maboresho mengi sana ambayo yamefanyika katika elimu ya msingi na sekondari, shida watu hawaoni na hata wakiona wanadharau. Shule za msingi na sekondari ni nyingi saana, zinahitaji majengo, walimu, maabara, vitabu na vitendea kazi vingine. Kuwepo kwa...