Huo ni ujinga uliochanganyikana nabuzembe pamoja na kushangaa shangaa. Iweje chuo kifungwe kisa jamaa kazomewa? Mbona rais wao alizomewa na kutupiwa mawe baadhi ya sehemu hapa nchini? Basi kama sababu ni kazomewa basi rais angekifungia kijiji kile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.