Recent content by betrecious23

  1. B

    Riwaya: Chokoraa

    Lol!! Kweli mtunzi mueledi kama wewe, akili uliituliza... Umeniacha kwenye kiwewe, uroho na uchu wa kutaka kilichompata George,.... Naomba ikate kiu hii ya kujua yaliyoendelea ndani ya riwaya hii yenye visa visivyoisha utamu.
  2. B

    Mke wa Mtu Kapakatwa

    Ulichosema ndio kinachofanyika!.. Anamuonea gere mwenzie...
  3. B

    Dr Slaa kupokelewa Kama Mfalme Marekani inamaana anatambuliwa uwezo wake?

    kweli kazi unayo...!! Kaka unaitaji elimu ya kuelewa taratibu za mapokezi za nchi, kila nchi inataratibu zake za mapokezi kwa wageni, usikurupuke mccm
Back
Top Bottom