Recent content by BETONY

  1. B

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii team ya kijinga sana msimu huu. Hakuna kitu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Angalia mpira kaka na usitazame kwa jicho la kumchukua mchezaji. So far so good. Hapo ni kocha kubadirisha mbinu kipindi cha pili basi wanakaa Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Samahani, naomba niseme hauji mpira
  4. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kuwapongeza TANESCO Manyara hasa wilayani Babati, wanatoa huduma kwa wakati. Kazi iendelee
  5. B

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    With all due respect kiongozi, 4M ni ndogo kwako?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Yanga wametoa taarifa rasmi kiongozi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Yes hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. But kuondoka kulingana na vipengele ambavyo yeye kwa uelewa wake aliviridhia
  8. B

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Kasome kanuni za FIFA kwanza kuhusu kuvunja mkataba. Ni kweli mpira ni pesa lakini afuate taratibu zote alizokubali wakati anasaini mkataba wake
  9. B

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Shida yenu ni kuleta unazi kwa vitu ambavyo hata haviitaji ushabiki. So Manula akipata sehemu ya aondoke tuu, bila kifuata utaratibu wa kimkataba?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Kabisa, anasahau kuwa hicho anacholiowa ndio aliiingia mkataba kuwa alipwe hiko
  11. B

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Basi afate taratibu za kimkataba za kuuvunja na siyo hizi njia za ujima
  12. B

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Azama waache janja janja, wakaongee na Yanga watampata mchezaji. Mkataba wowote uvunjwa na pande mbili, hakuna janja janja ya nyani
  13. B

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Na hii ni shida kwa wachezaji wengi wa kitanzania, mwisho wanakuwa na wivu na maneno ya kiswahili, ohhoo, napiga kazi mshahara kidogo, wakati wengine mshahara mkubwa. Je wakati unasaini ulikuwa wapi ku bargain hili upate mkubwa?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Hakuna ambaye hanamzuia kwenda Azam, kikubwa ni kuheshimu vipengele vya kimkataba basi
Back
Top Bottom