Hongera mkuu kwa hatua hio.
Kwa pesa hio unaweza jenga nyumba ila itategemea design ya nyumba(ukubwa,aina ya msingi,roofing style e.t.c),aina ya mafundi utakaowatumia,quality ya finishing material n.k
Ushauri wangu, Kubali kutoa pesa angalau kidogo ufanyiwe design, mtafute Architect (mbunifu...