- Joined
- Nov 2, 2018
- Messages
- 214
- Likes
- 140
- Points
- 60

kajamaa kadogo
JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018

Habari wakuu
Mimi mdogo wenu nimehitimu masomo yangu 2015 kidato cha nne sikufanikiwa kuendelea ila kuna maombi nilipeleka kwenye chuo kimoja hivi
Sasa nimechaguliwa kuna course inaitwa CIVIL DROUGHTING
Naomba nijue maana yake, Umuhimu yake kwa jamiia. Maana ndo kwanza naiona ndugu zangu
Nawasilisha ahsante