Hahahahahahhhha wanajfanyaga wanakomesha kisa wanalipia game....s unajua show za malipo aiseee lazma ujitutumue ili kiingilio chako kisikuume....mke s unaiua yupo tu anytime akitaka unamtusua tu....
ahahahhahaahhhahahahahaha......kwanza nicheke af madaha nae kiaz kibich kweli hajisom wala hajielewi ye ndo anatafuta kiki kwa shilole maana shilole juhudu bnafs bila vya kushndania....ye aishukuru benchmark hv hv angebakia kutukwangua mba saloon.....teh dunia ina mambo balaa
duh jaman kama n kwel pole na ungesamehe tu kila kitu kina sababu may b withn hyo 10yrs uraian ungekua ushadakwa kwa sembe as uliweza kukumbatia sichudenti basi sembe ingekua kitu chepesi kukikumbatia sanasana mshukuru huyo kijana kwa wazo lake jema lakukunusu na makubwa ya uraian songa mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.