Wana jamvi poleni na majukumu.
Naomba ushauri kutoka kwenu kuhusu upakaji rangi kwenye nyumba.
Nimepata ugumu au shida katika kufanya maamuzi kwa haya yafuatayo.
1. Kuna upakaji wa rangi kwenye nyumba ambao ni wa kawaida tuliouzoea kwa kutumia rangi za kawaida
2. Kuna upakaji mwingine ambao...
Pia huku Mbezi ya kimara fuso za tani 4 zipo kibao na hesabu zake ni 85,000/= hadi 100,000/= kwa siku. Ninasema hivyo kwa uhakika coz hata mimi nipo kwenye hii biashara long time
Aliyekufa ni mama (mke wa mwenye magari). Huyo mama ndo alikua anajua spare za gari zinapatikana wapi na ndiye aliyekua msimamizi mkuu. Baada ya kufa mumewe kaenda kuoa binti wa miaka 20 wanatumbua mali pole pole. Gari zote alikua ananunua mama japo baba ndo mtoaji wa pesa za manunuzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.