Recent content by bet master

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kublock number moja ya siku kwa mda

    asante sana mkuu nmefanikishaa..viva jf
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kublock number moja ya siku kwa mda

    hapo ni no ya simu msaada wakuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kichefuchefu na kukuosa hamu ya kula vinanitesa jamani

    siku ya nne leo nakunywa hzo dawa mkuu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kichefuchefu na kukuosa hamu ya kula vinanitesa jamani

    mkojo si ndiio mambo ya UTI hayo sina mkuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kichefuchefu na kukuosa hamu ya kula vinanitesa jamani

    ooh k bas ntaitafuta
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kichefuchefu na kukuosa hamu ya kula vinanitesa jamani

    habari wakuu yani kila nikiamka asubuhi nasikia kichefuchefu balaa mpaka natapika pind napopiga mswaki,so asubuhi sili kabisa mchana nakula kidogo mno usiku kidogo najitahidi,sasa madokta nifanye nini nmepima sina ugonjwa vyote negative yani mpka kamwili kanapungua my age is 23yrs ,mimi ni me...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Zijue dalili za magonjwa ya Hofu (anxiety disorders)

    daah yan mkuu totaly mm nina huo ugonjwa ngoja nmuone daktr
  8. B

    JamiiForums Tanzania Scientist claim the discovery of HIV cure

    duuh hio dawa ije tu maana leo nmepita hospital moja nlikuwa nashda zangu binafsi aah nmeona wagonjwa waukimwi wanvyotesaka nusu nilie eeh mungu saaidia viumbe wako
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kuongeza uzito sababu na mwili mdogo sana

    habar wakuu.kama nlivyojieleza mm ni me my age is 23 uzito wangu n 50kg urefu n 168cm nahitaji lishe za kuongeza atleast 7-10 kg sina tatizo lolote na nmeridhika na maisha sina tatizo kabisa na pesa
  10. B

    JamiiForums Tanzania msaada wakuu nina mabanja yasiyoisha

    msaada wakuu tangu nipo form 1 miaka 15 mpka leoo mabanja hayaishi nisaidien dawa yake ni nn maana yanankera kwel hasa nkiwa katika mkusanyiko wa watu
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Share here your best browser in android smartphone.

    m nlikiwa natumia et mozila spid kama kobe now shaidowload hyo uc duuuh ni sheeeda
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nisome vitu gani niwe na CV Nzuri kwa Civil Eng.

    nashukuru wadau
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu simu yangu haioneshi kama inakicharge ila ina jaa

    wakuu hapa tatizo nn nn natumia be smartphne
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hodiiii

    karibu
  15. B

    JamiiForums Tanzania Diamond platnumz awabwaga Davido na Awilo longomba

    wasaaaaaafiiiiiii ..weny chuki wajinyonge na big jiii
Back
Top Bottom