Unasikitisha sana, Beki tatu kutoka Moro narudia tena KUTOKA MORO,, unashindwa kumla mpaka ufungue uzi, yaani kutoka MORO. naku STIKIKIA kabisa na si ajabu mpaka sasa huyo beki tatu keshakuona fala kama mpaka muda huu haujamshika hata TarCore.
Kitendo chakuweza kujua Pentagon haijatangaza vifo vyote vya wanajeshi si ndio kutokufichwa kwenyewe huko. wangeficha hiyo taharifa sisi tungeijuaje.
lakini huku unaambiwa hakuna aliyeuawa, kama unabisha sema waliuliwa na nani?
Kunywa maji kwanza..!! Rambana Chumvi ushushe Sukari halafu nisome vizuri.
Nyerere aliongelea Uasi! Sifa zikawa kwake
Lissu kaongelea Uasi Kesi imekuja kwake.
Ndio nikasema, kwa watawala kila neno lina maana yake kulingana na mtawala aliyepo.
Bado una Hasira?
Hawa viongozi wa Ulinzi na Usalama walikua Mashahidi Muhim kwa Upande wa Mashtaka..
Kwakua hawakuitwa, Upande wa Utetezi ukawahitaji ili wathibitishe Uhaini wa Lissu kama ambavyo wangeuthibitisha kama wangeitwa upande wa Mashtaka.
Sababu za kutoitwa upande wa Mashtaka ndio sababu zilizotumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.