Ahsante kwa comment yako...ila nikuweke wazi tu kuwa hakuna biashara yoyote ile nnayoitangaza hapo,nimeomba ushauri kwa wana MMU as my thread inavyojieleza...na nimepokea mawazo yenu kwa mikono miwili.
Ahsante sana Zawadi...nashukuru tht umeelewa how it feels...yaan ni kama kidonda vile...ila najipa moyo na nimefarijika mno na ushaur wako...ahsante sana,ntazd kumtumain na kumtegemea mungu,
Ahsante sana Mahmood kwa ushaur wako mzur.
Kwa kpnd chote hiki nimekua karbu sana na mungu...na imenipa courage kubwa sana...ila ntajitahd kuendelea kusali...naamin mungu atajibu.
Ahsante kwa pole,kwakwel sababu nyng hazikua rasmi...ni vijiugomv tu vya hapa na pale,nilimuheshm sana na hakukuwa na kitu kinachoitwa cheatn in me..yy ndo aliyeniacha..but probably time will heal
Habari wana MMU.Kwanza kabisa nafarijika sana kuwa mwanajukwaa hili...na huwa napata mengi sana kwa njia ya usomaji wa threads na comments...kiufupi jamii forums unifanya nismile most of the tym.
Tatizo langu kubwa linalonisibu ni upweke jaman.I had a bf lakin tukahitilafiana na kuachana kwa...
Nakushaur nenda vyuo vya ualimu...uwapelekee cv zako...na uonyeshe nia tht u wud lov to work with them...unaweza kuanza kama intern...thn bdae wanaweza kukuajir...kaz ni ishu,or else ujiajir tu kwa kuungaunga,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.