Recent content by Best score

  1. Best score

    Je Yanga inaweza kushitakiwa na mahakama ikiwa itathibitika kuwa wamefanya udanganyika dhidi ya mahakama?

    1.Yanga ni team ya wanachama 2.yanga hawakutoa taarifa rasmi 3.Ni tetesi zilizosambazwa na waandishi wa habari Final, ni ngumu sana club kushitakiwa kwa jambo kama hili, labda kushtakiwa kwa uongozi wa club
  2. Best score

    Ukitaka kuishi bila kuzeeka fanya hivi

    hata hao wenye umri wa miaka 70 ni wazee
  3. Best score

    Nimesambaza sana CV lakini sijawahai kuitwa kwenye usahili

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ni muhitimu wa stashahada ya LABOUR RELATION AND PUBLIC MANAGEMENT naomba kujua vitu gani vya kuzingatia ambavyo vitanisaidia kuitwa kwenye interview.
  4. Best score

    Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

    Haijatengwa sema tu nafasi zinazo toka ni chache, but nakushauri urudi chuo ukamalizie NTA LEVEL 6
Back
Top Bottom